SWALI LA UELEWA: Timu ikichukua Kombe ambalo haibebi moja Kwa moja ikilirudisha inabaki na kumbukumbu gani?

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Tunaambiwa pale England Manchester United imebeba Kombe x20, hapa Tanzania Yanga wanalo x29. Ukienda Uganda SC Villa wamebeba mara kadhaa hata pale Israel kuna Macabi Haifa wababe wa soka la nchi hiyo.

Tunaambiwa utaratibu timu ikichukua mara 3 mfululizo kama ilivyofanya Man City juzi ndo inapewa Kombe moja Kwa moja na kama siyo mara ya Tatu inatakiwa kulirudisha siku kadhaa kabla bingwa mpya hajakabidhiwa.

Swali langu ni kwamba yenyewe inabaki na kumbukumbu gani ya Hilo Kombe kwenye kabati zake?

Kuuliza si ujinga?
 
Huwa wanapewa copy
 
Nilimsikia msemaji wenu siku moja akijigamba kombe litakuwepo Jangwani kwa vizazi na vizazi nikasema huyu hajui asemalo.

Ukitengeneza mfanano wa kombe hilo kwa ajili ya kumbukumbu au "replica" sheria za CAF zinaweza kuwa haziruhusu maana unacopy ubunifu bila ruhusa ya muhusika.

Rekodi za picha, video, maandiko zinatosha kuweka kumbukumbu ila kama una ubavu pambana ushinde mara tatu mfululizo wakupe ukae nalo.
 
Msemaji wetu yupi?
 
Yale makombe yanayoonyshwa kwenye gallery ya Real Madrid yote walichukua X3 mfululizo?
 
Unapata faida gani kuongea uongo?
 
Tunaambiwa pale England Manchester United imebeba Kombe x20, hapa Tanzania Yanga wanalo x29. Ukienda Uganda SC Villa wamebeba mara kadhaa hata pale Israel kuna Macabi Haifa wababe wa soka la nchi hiyo.

Tunaambiwa utaratibu timu ikichukua mara 3 mfululizo kama ilivyofanya Man City juzi ndo inapewa Kombe moja Kwa moja na kama siyo mara ya Tatu inatakiwa kulirudisha siku kadhaa kabla bingwa mpya hajakabidhiwa.

Swali langu ni kwamba yenyewe inabaki na kumbukumbu gani ya Hilo Kombe kwenye kabati zake?

Kuuliza si ujinga?
Mnakaa na replica OG inabaki kwa waandaaji ka WC
 
Yale makombe yanayoonyshwa kwenye gallery ya Real Madrid yote walichukua X3 mfululizo?
Sheria za mashindano zinatofautiana. Kwani za ligi kuu ya Tanzania kombe huwa linarudishwa?
 
Back
Top Bottom