Swali la ufahamu: Hivi CCM hutoa taarifa ya mikutano ya hadhara au/na maandamano yao kwa Jeshi la Polisi?

Hatamsaliti kivipi? Umauti na uhai ni vitu viwili tofauti, unaemsema hatamsaliti yupo kwenye maisha mengine, utawala mwingine, so sema hatamsaliti ni maneno mepesi sana,
 
Police wao ndiyo wanatakiwa kujua ni lini CCM wanataka kufanya mkutano ili watoe ulinzi stahiki, Chama tawala hakiangaiki ka kuandika vikaratasi vya kuomba ruhusa.
Aahaaa
 
Je, CCM hukidhi matakwa ya kisheria na kikanuni katika kutoa taarifa Polisi? CCM wamewahi kutoridhiwa kufanya maandamano ya amani au mkutano wa hadhara?
Ccm ni 'special group'...

Haijawahi kutokea mgombea wa Ccm kukosea kujaza fomu za uchaguzi, ila wagombea wa upinzani hukosea kila wakati.

Haijawahi kutokea mkurugenzi akatokomea au kususia kupokea fomu za uchaguzi za mgombea wa Ccm, ila kwa wagombea wa upinzani hiyo ni kawaida Sana.
 
CCM huwa inatimiza taratibu zote za kufanya mikutano na maandamano na na kwa kawaida most of the times CCM haijawahi kukataliwa kufanya mkutano kwasababu CCM sio tuu ni chama cha siasa, CCM ni chama dola, CCM ni dola!, hivyo inafanya kila kitu kwa preferential treatment.

Hata wakati wa usajili wa vyama vya siasa, CCM haikutuma maombi kuomba isajajiliwe, bali alipata usajali wa automatically na kuwa chama number 1. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!

Ila pia mara moja moja sana CCM pia imekataliwa Kuelekea 2025 - Polisi yaizuia Mkutano wa CCM kufanyika Ngorongoro

P
 
Hatimaye umejibu....

Ccm haihitaji ruhusa kutoka kwa yeyote kufanya mikutano ya siasa
 
Nimekuelewa mtani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…