Swali la ufahamu

Swali la ufahamu

GITWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1,572
Reaction score
1,781
Nimeulizwa na mdogo wangu hivi " je udahili wa chuo kikuu unaweza unganisha vyeti vya form six kama wafanyavyo private candidates kwenye mtiani wa form six?" Nimekosa jibu nami nimeona nije kijiwe cha elimu kupata jibu. Mwenye ufahamu naomba anijuze.
 
Inawezekana na haina shida, kwa zamani walikuwa wakitaka alieunganisha awe na walau CC, lakini siku hizi nadhani hata ukiwa na minimum EE watamchukua asiwe na hofu kabisa, tena kama ni sayansi ndio kabisaaa, Nampongeza kwa kutokata tamaa na kufikia hapo alipo sasa dogo, Mimi dogo alianzia VETA miaka mitatu, akaenda QT miaka 2, then akaenda MIST (siku hizi Mbeya University) akasomea Dip ya Civil Eng, sasa hivi ameajiriwa na Taasisi moja ya serikali na anajiongeza na BSc. Civil Eng chuo fulani hivi na maisha yake yamenyooka kiaina aisee......
 
Asante sana kwa jibu lako. Maana dogo Alisha anza kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom