GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,572
- 1,781
Nimeulizwa na mdogo wangu hivi " je udahili wa chuo kikuu unaweza unganisha vyeti vya form six kama wafanyavyo private candidates kwenye mtiani wa form six?" Nimekosa jibu nami nimeona nije kijiwe cha elimu kupata jibu. Mwenye ufahamu naomba anijuze.