Swali la Ugomvi: Kwani Wenzetu Hawa Walisomea Nini? - Part 1

Ni vile wanapokuja kuomba kura wanakuwa wameficha mitutu kwenye makoti ndo maana wanakwapua kura wakisema tumewapa kura...

Swali gumu sana hili umeweka
 
Wakati wa Jiwe ullipokuwa upande wao mambo yalikuwa safi !? . Hawa hawabadiliki hata wakiwa wakwe zako!
 
Kwa bongo, kula haina maana kwa utawala wa ccm, wao, ndio wanaamua nani ashinde, tatizo, la nchi hii ni ccm kuendelea kuwa madarakani! Na wana nchi pia, tupo kama na zombie, mpaka tufikie akili ya wasenegal
... tatizo ni wananchi ... wanaopiga kura bila kujua thamani ya kura zao ...
 
Ukitaka kuharibu future ya taifa lolote duniani,Hakuna haja ya kutumia silaha za maangamizi,Kuna jambo Moja kubwa na muhimu sana nalo ni "kuharibu mfumo wa elimu".

Tumeharibu mfumo wa elimu na mwisho tunatawali na wajinga,na katika historia ya dunia hii hakuna mageuzi yaliyo fanywa na wajinga.

Na kundi la wajinga wakikubali jambo katika ujinga wao,hilo jambo huwa ukweli.
 
... tatizo ni wananchi ... wanaopiga kura bila kujua thamani ya kura zao ...
Kama mtu hajakuelewa arudi darasani. Tatizo ni sisi wananchi tunaopiga kura na kuachagua. Ilani ya chama imekuwepo muda mrefu, watu ni walewale, maneno ni yaleyale na chama ni kilekile. Bahati nzuri kiongozi wa juu kabisa uomba kura baada ya kuwa waziri muda mrefu, hivyo tunachagua tukijuwa madhaifu yake na yale ya chama chake.

Tusitegemee miujiza, tuopaswa kubadilika kwanza ni sisi wapiga kura, pamoja na kwamba kwa sehemu kubwa mbali na hao Viongozi kuwa wezi wa mali ya umma pia ni wezi wa kura.
 
Thread closed
 
CCM NI JANGA NI MAJIZI
 
Watanzania wanampigia mtu kura kutokana na wingi wa watu waliohudhuria mkutano wake, pia wasanii aliowaleta mkutanoni na bahasha alizogawa.
 
Muache jamaa' kashatubu.
 
Huyu jamaa alivaa ukatoliki na ushabiki maandazi wa kibwege sana

He’s a sold
 
Nyerere ndo Rais wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi hii. Kama Kambona angekuwa Rais wa Nchi hii inawezekana leo Tanzania ndo ingekuwa kinara wa uchumi Afrika
 
M.M Mwanakijiji being amongst the greatest wa ili jukwaa na nyaraka zako za siri miaka hiyo ambayo wachangiaji wa leo wa hili jukwaa la siasa hawakujui wewe ni nani na uzito wa michango yako kufanya hadi serikalini kushinda jukwaa la siasa.

That’s a while ago wachangiaji wale wa amsha amsha zako, bila ya kupewa elimu awawezi kujua uzito wako kwenye kuinua hili jukwaa.

Hakina Zomba ambao walikuwa wanaogopa kutumia ID za kike miaka ile siku hizi wanajiachia na ID zinazo reflect gender zao na kujifanya walimu wa lugha.

Werevu wa miaka yako washakimbia hili jukwaa siku hizi asilimia kubwa ni watoto wa UVCCM na BAVICHA na siada za uchawa badala Ya kujibu hoja.

That was to remind JF wachanga M.M.M ni nani, huko kwenye concerns za elimu ya hawa watu walio kwenye uongozi ni kupoteza muda wenyewe wameshaamua bora liende. Mifano ni mengi ya kuelezea this people are not serious.

Just paying homage

Hii sio nchi ya meritocracy as you wish ndio maana ipo ilipo.
 
Nyerere ndo Rais wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi hii. Kama Kambona angekuwa Rais wa Nchi hii inawezekana leo Tanzania ndo ingekuwa kinara wa uchumi Afrika
Ni miaka karibu 40 toka aondoke madarakani, umaskini wa wananchi wa kawaida umepungua au umeongezeka, weka mbali takwimu za kisiasa
 
Mbona tupo wengi tunaopenda anachokiandika na tuna muamini!?
Kama wewe unakwazika na misimamo yake pita mbali wasomaji na tunaofurahia anachoandika tupo na kiu ya kusoma ipo siku zote.
Unachotakiwa ni kupunguza uchungu kwa operesheni au njia ya asili hakuna tinachoweza kukusaidia 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…