Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?

Baadhi ya Taarifa za Uzushi zimekuwepo kwa muda mrefu na kurithishwa kizazi hadi kizazi, hivyo kuathiri mitazamo ya watu

Je, ni Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?

Ili kujua Uhalisia wa Taarifa unazokutana nazo, tembelea Jukwaa la JamiiCheck
Kwamba kwenye hii nchi, mtu hawezi kuwa kiongozi wa kisiasa au mtu maarufu bila kuwa mshirikina. Yaani wengi wanaamini lazima awe anajiganga kupitia imani za kishirikina (kupigwa chale, kutoa kafara, kuamini hirizi) hata kama ana imani nyingine ya kidini.
 
Baadhi ya Taarifa za Uzushi zimekuwepo kwa muda mrefu na kurithishwa kizazi hadi kizazi, hivyo kuathiri mitazamo ya watu

Je, ni Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?

Ili kujua Uhalisia wa Taarifa unazokutana nazo, tembelea Jukwaa la JamiiCheck
Ukristo ni dini ya Mungu wakati imeletwa na wazungu kwa maslahi yao
 
Baadhi ya Taarifa za Uzushi zimekuwepo kwa muda mrefu na kurithishwa kizazi hadi kizazi, hivyo kuathiri mitazamo ya watu

Je, ni Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?

Ili kujua Uhalisia wa Taarifa unazokutana nazo, tembelea Jukwaa la JamiiCheck
Kuna maisha mapya baada ya kifo.
 
oyaa acha kabisaa kawaulize manzese na tandale kwa bibi nyau hawana hamu masela wa enzi hizo 2010 kurudi chini huko walishapandwa sana na mwamba huyo! na lazima useme ndio shart lake la sivyo anakugeuza mkewe!
Hivi Kuna uwezekano akawepo ila ndo jamii ya watu wa sasa hayo mambo yake(popobawa) wanayapenda?
 
popobawa alipotea na yule mtabiri sheik yahya alipofariki ndio zile issue zikaisha.. yule mzee alikuwa na balaa hatarii!
Kwamba nyuma ya lile jini kuna siri nzito sana inazomuhusu Mtabiri.? Hahaha hatari sana
 
Eti Zanzibar ni mkoa wa Bara
- Kataa ndoa
- Israel ina nguvu sana
 
hahaha yani imekaa kinamna flani hivi.
Yaani afanye manuva uchomwe moto ufe, afanye manuva upigwe na wasiojulikana je hao wasiojulikana watakua na dhambi wakati wewe "sir" ndo umepanga jamaa afe hivyo, angekufa vipi bila watu kuhusika kama ulipanga auawe na watu haohao....
 
ndo point yangu ilikua hiyo binadamu pia anaweza kupanga kifo cha binadamu mwenzie.
 
Back
Top Bottom