Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?

eti panahitajika katiba mpya nchini, hali ya kua iliyopo haifahamiki na ubaya wake haijulikani, dah 🐒
 
"WANAOTEKA ,KUWAPOTEZA, KUPIGA NA MARA NYINGINE KUWAUA WANANCHI, SIYO CCM, NA WALA SIYO SERIKALI,POLISI NA VYOMBO VYOTE VYA USALAMA HAWAHUSIKI"
 
Jeshi la Tanzania ni namba 6 kwa ubora duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…