beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
hahaha huyo kibint analia coz anaona mmmh kizee kinamuharibia tuu haya na huyo jizee analia coz kibint anampa mambo adimuuMzee wa miaka 75 alimuoa binti wa miaka 15,
On their first Night wote walikuwa wanalia... Je unadhani sababu ninini...??
hakuna, babu anazuga kuwa kasahau, ila ngoma imegoma......
Ngoja waje walifikwa na mkasa kama huo.
Babu utamu uko mgongon, mpaka auteme kazi ipo
hahaa Binti hajui kitu na babu kasahau kilakitu...