haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Kuna vitu vinachosha sana.
Mtu anakuona anasema “ Una macho mazuri” au una vidole vya kike (sababu ni vizuri),
Au anakuangalia anasema unanywele laini lama za mwanamke.
Sasa kwani wanaume ndo wameumbiwa kua na vitu vibaya na vya rough? Ni bora ukae kimya kuliko ku compliment mtu kwa style hiyo, wadada hasa hasa, kaeni mbali na mimi.