🤣🤣🤣Uandishi wako mzuri ka wa Ke
Una kishuzi mkuu? Kama unacho basi wewe ni mzuri?Kuna vitu vinachosha sana.
Mtu anakuona anasema “ Una macho mazuri” au una vidole vya kike (sababu ni vizuri),
Au anakuangalia anasema unanywele laini lama za mwanamke.
Sasa kwani wanaume ndo wameumbiwa kua na vitu vibaya na vya rough? Ni bora ukae kimya kuliko ku compliment mtu kwa style hiyo, wadada hasa hasa, kaeni mbali na mimi.
Lipia tangazoKuna vitu vinachosha sana.