Swali lenye kuniumiza kichwa changu

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
3,988
Reaction score
1,308
Habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF,

Ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea na pirika za kusukuma gurudumu la maendeleo.

Nina maswali yananiumiza kichwa na ninahitaji sana busara zenu wajf ambao mpo "matured" hivi ni nani hasa kati ya mwanaume na mwanamke anaweza kufanikisha harusi iwezekane? utakuta watu wapo kwenye relation kwa miaka lakini at the end hawawi pamoja ukiuliza unaambia mwanaume ameamua ku move on kwa sababu mwanamke hayupo tayari kuolewa, au mwanamke ameamua ku move on mwanaume bado yupo yupo kwanza je haya yanasababishwa na nini hasa? na nani kati ya mwanaume na mwanamke mwenye kuweza kufanya ndoa isimame?

Ahsanteni sana na nawatakia siku njema.
 
Ngoja kwanza tufikilie
then utapewa Jibu






Wote hawakuwa tayari kuwa pamoja kwani wameshamegana vya kutosha.
 
Ngoja kwanza tufikilie
then utapewa Jibu






Wote hawakuwa tayari kuwa pamoja kwani wameshamegana vya kutosha.


Sidhani hiyo inakuwa sababu kuu ya kuwa wamechokana na unaweza kukuta bado wanahitajiana lakini swala la kuingia kwenye ndoa linakuwa gumu upande mmoja na upande wapili unakosa "convincing power"
 
wamekutana kila mmoja akiwa na nia yake lazima mnie mamoja ili ndoa ifanikiwe ukiona mmoja kaingia mitini ujue nia ilikuwa jambo fulani kwa mwenzake labda pesa,kumegana,status,na mengineyo mengi lakini hakuhitaji mahusiano ya kudumu au anapo kwingine anapotarajia kuweka ngome yake.
 
liweke swali vizuri naona kama halieleweki
 
Kuna sababu nyingi,unaweza kuwa kwenye uhusiano na mtu kwa muda na ukawa na malengo ya muda mrefu but kuna vitu ukivifahamu kuhusu mtu unakata tamaa kwamba anaweza kuwa baba mzuri au mama mzuri au hata mume mzuri,so una-move on

Pia,mapenzi huisha kwasababu nyingi,sasa mkifika hatua hiyo inabidi tu sababu itafutwe kila mtu aende zake

Still naamini ili kufika hatua ya ndoa both part zina role ya ku-play ila mwanaume ndo ana final say ya tuingie kwenye ndoa au lah!!!

I hope nimekujibu.
 
Tatizo ni kwamba watu wanafanya mapenzi so frequently na kwa pupa mara tu wanapokuwa katika relation wakidanganyana kuwa wanapendana lakini wametamaniana kimapenzi tu.Inapofikia wazo la kuoana inakuwa ngumu kwa sababu tayari wameshachokana na wanaona hakuna haja ya kuendelea kuwa pamoja kama mme na mke.Ndoa hapa itabakia kuwa ndoto kati ya hawa wawili na kitakachofuata ni kila mmoja kumtafuta mwenzi wake wa maisha kwa vigezo ambavyo ameviweka yeye.Ushauri wangu kwa wana JF ni kwamba maisha ya mme na mke hayatakiwi kukurupuka,kaeni chini wekeni malengo na namna ya kuyafanikisha msikimbilie ngono sana manake mtachokana kabla hata hamjaoana.
 
kuna watu wako kimapenzi zaidi[do me,I do u] hata watu wa karibu na familia wanamjua kwamba flani ni boyfriend/galfriend wa flani lkn miaka inakatika tu hakuna ndoa!hapa ndo ile "if u get free milk why buy a cow?"it can be jamaa hayuko tayari kuoa yani anaona as long as familia inamjua {not officially}basi kila kitu ni Comme ci, comme ça.Nadhani wakati ukifika and as u knw Mume/Mkwe mwema anatoka wapi,then hapa kila mmoja nadhani anakuwa tayari yani mwanamme akisema mwanamke hana kipingamizi ktk hilo maana hapa kila mtu yuko tayari kupanganga na kuwa na familia,hivyo hivyo pia ktk majukum mengine.Na ktk hatua hii hapa hakuna mambo ya kukurupuka as y nakupigia hupokei,jana ulikuwa wapi na ulikuwa na nani na ule u childish mwingine,hapa akili inakuwa imekomaa zaidi kwamb kama umepiga hajapokea maybe alikuwa kwenye kika etc,nadhani nimejitahidi kukujib kiasi.
 
hio kali swali zuri linahitaji kukaa na kutafakari walengwa ni sisi
 

Inaweza kuwa na ukweli kidogo.............................. lakini haijanishawishi kihivyoooo
 
liweke swali vizuri naona kama halieleweki

Re: Swali lenye kuniumiza kichwa changu


hio kali swali zuri linahitaji kukaa na kutafakari walengwa ni sisi


Mkuu vipi mjani haujapanda nini? Teh teh teh
 

Suppose hamjawahi kufanya ngono kwasababu mbalimbali kama "dini" au mwanamke hajawahi "bikra" na wewe umethibitisha ubikra wake. Halafu at the end inatokea kama swali hapo juu inakuwaje?
 

Umejitahidi sana lakini sijaridhika na majibu yapo ki jumla jumla sana bi lulu.
 
Suppose hamjawahi kufanya ngono kwasababu mbalimbali kama "dini" au mwanamke hajawahi "bikra" na wewe umethibitisha ubikra wake. Halafu at the end inatokea kama swali hapo juu inakuwaje?

He! unathibitishaje ubikra wake wewe..?
 
wote wwana jukumu ilo
cz ndoa si ya mwanamke pekee au mwanaume pekee.
 
He! unathibitishaje ubikra wake wewe..?

Kuna njia nyingi sana za kuthibitisha ubikira za kisayansi na kijamii mfano msichana bikra kisigino chake kinakuwa round kama yai na kikiwa flat ujue wajanja wameshaing'oa chunguza fanya utafiti utakuja niambia maneno yangu kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…