Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF,
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea na pirika za kusukuma gurudumu la maendeleo.
Nina maswali yananiumiza kichwa na ninahitaji sana busara zenu wajf ambao mpo "matured" hivi ni nani hasa kati ya mwanaume na mwanamke anaweza kufanikisha harusi iwezekane? utakuta watu wapo kwenye relation kwa miaka lakini at the end hawawi pamoja ukiuliza unaambia mwanaume ameamua ku move on kwa sababu mwanamke hayupo tayari kuolewa, au mwanamke ameamua ku move on mwanaume bado yupo yupo kwanza je haya yanasababishwa na nini hasa? na nani kati ya mwanaume na mwanamke mwenye kuweza kufanya ndoa isimame?
Ahsanteni sana na nawatakia siku njema.