Swali limeulizwa huko:-kwanini wanaume hampendi kuongozana na wake zenu?

Kuna namna kweli tuna feli. Lkn pia ulivyo sema ni sahihi wanawake baadhi Yao wakiolewa wanajisahau sana.
 
Kuna kanisa niliwahi kusali ilinichukua karibu miezi sita kujua nani ni mke wa nani maana huwezi kuwakuta wako karibu.Wanawake wanaitwa kwa ubini wao, hauna ID ya mume, yaani huwezi kusikia mama matunduizi. Sababu ni ugomvi tu ndani ya ndoa imepelekea wengi kuwakwepa ili wawe na amani. Hasa wamama wenye midomo.
 
Mkuu ni kujikaza kiume na uwe mpole hawamalizi maneno na hasa akigundua una mskiliza utaambiwa mengi mno njia yote. Ile wako apite mdada mwenye trakle ungeuke halooh hiyo kesi haitaisha hata mkifika nyumbani utatoa maelezo ya kina😹😹
 
Kuna kanisa niliwahi kusali ilinichukua karibu miezi sita kujua nani ni mke wa nani maana huwezi kuwakuta wako karibu. Sababu ni ugo.vi tu ndani ya ndoa imepelekea wengi kuwakwepa ili wawe na amani.
Inapo fikia hatua hiyo, ndipo hua nakua na tofauti na kanisa langu kwamba ndoa haivunjwi "mimi nasema ndoa inavunjwa"
 
Kuna kanisa niliwahi kusali ilinichukua karibu miezi sita kujua nani ni mke wa nani maana huwezi kuwakuta wako karibu. Sababu ni ugomvi tu ndani ya ndoa imepelekea wengi kuwakwepa ili wawe na amani. Hasa wamama wenye midomo.
Siku Moja pastor mbaga sijui una mfahamu aliwakalisha Kwa pamoja nakwambia sura zilibadirika sana sio wanake ama wanaume nilishangaa Sana. Yaani unaona kabisa hawana amani pia wanajichekesha Ili mradi tu
 
Siku Moja pastor mbaga sijui una mfahamu aliwakalisha Kwa pamoja nakwambia sura zilibadirika sana sio wanake ama wanaume nilishangaa Sana. Yaani unaona kabisa hawana amani pia wanajichekesha Ili mradi tu
Nampata sana. Tena mkipendana sana hadharani ni kama tangazo la vita kwa wasiopendana. Walio na migogoro ya ndoa hasa wanawake hawapendi kuona wenzao wanaenjoy. Wako radhi hata watumie ushirikina kuwaharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…