Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #21
Hapa hapa duniani mkuu. Kama sisi wanaume tupo tusiokuwa na staha mke anaweza pigwa mbele ya Watoto ama wageni wakiwepo. Hii tunaita kukoswa hekima au busaraHivi wanawake wa hivi hua mnawaokotea wapi...☹️