Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Mkeo au mpenzi wako akikuambia muongee huwa unawaza nini? Najua hili ni swali linalochukiwa na wanaume walio wengi.
Tuambie huwa unawaza nini?
Binafsi mimi huwa najua shida ni hii simu yangu maana ndiyo huwa inaniletea matatizo kila kukicha. Nikiskia tuongee tu najua basi kuna kitu kimepekuliwa kwa simu. Wewe ni kipi?