Swali Maalum kwa Walimu Wote Tanzania

Swali Maalum kwa Walimu Wote Tanzania

Filipo Lubua

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
339
Reaction score
578
Nina swali dogo kwa walimu wenzangu Tanzania. Hivi inakuwaje wengi hampendi kutambulika kama walimu? Utamwona mwalimu ameandika kwenye profaili yake ya Facebook kuwa yeye ni Education Officer, Education Administrator n.k. Hivi kwa nini msiziache hizo kazi kama hamzipendi?

Ushauri:
Msiionyeshe dunia kama mko kwenye fani hiyo kwa bahati mbaya. Onyesheni kwamba mko kwenye fani hiyo kwa sababu mnaipenda na mmeisomea. Japokuwa serikali na Chama Tawala wameifanya hiyo fani ionekane haina thamani, ni jukumu la wenye fani kuiinua na kuifanya ithaminike mbele ya jamii. Je, mwakumbuka enzi za midahalo (debate) shuleni kukiwa na mada (motion) kama "A TEACHER IS BETTER THAN A DOCTOR"?
 
hivyo ndio 2livyoajiriwa na serikali as edcation officers kwani wewe inakuuma nini kazi ya mwenzio
 
mkubwa, ebu panuka zaidi, najua wewe ni mwalimu, Education officers, admn. wote waalimu. sasa wewe unataka tu waandika neno mwalimu ili ufurahi au. Kwa anayeelewa, kama wewe unafundisha sekondary cheo chako ni aidha assistant education officer 1,2 etc ama education officer 1,2 etc. hivyo kuandika hivyo si kosa kwenye CV ama profile yako/yake. Kuna waalimu wa shule za msingi, hawa waanaitwa waalimu kwa madaraja tofauti. Katika miundo ya utumishi inatambulikahivyo, ila core function kwa wote ni kufundisha.

Nina swali dogo kwa walimu wenzangu Tanzania. Hivi inakuwaje wengi hampendi kutambulika kama walimu? Utamwona mwalimu ameandika kwenye profaili yake ya Facebook kuwa yeye ni Education Officer, Education Administrator n.k. Hivi kwa nini msiziache hizo kazi kama hamzipendi?

Ushauri:
Msiionyeshe dunia kama mko kwenye fani hiyo kwa bahati mbaya. Onyesheni kwamba mko kwenye fani hiyo kwa sababu mnaipenda na mmeisomea. Japokuwa serikali na Chama Tawala wameifanya hiyo fani ionekane haina thamani, ni jukumu la wenye fani kuiinua na kuifanya ithaminike mbele ya jamii. Je, mwakumbuka enzi za midahalo (debate) shuleni kukiwa na mada (motion) kama "A TEACHER IS BETTER THAN A DOCTOR"?
 
Ata hii nchi siipendi tena licha ya Ualimu......sema tu nawaonea huruma wajinga wengi wanaokufa ndani ya mbawa za mapepari waliofanana nao kwa rangi.
 
tafuta barua/mikataba ya ajira utapata majibu.In short hv ndivo walim wanavoajiriwa;,degreeholder(afisa elimu II),diploma hold(afisa elimu msaidizi) na certificate holder(mwalimu).
 
Nina swali dogo kwa walimu wenzangu Tanzania. Hivi inakuwaje wengi hampendi kutambulika kama walimu? Utamwona mwalimu ameandika kwenye profaili yake ya Facebook kuwa yeye ni Education Officer, Education Administrator n.k. Hivi kwa nini msiziache hizo kazi kama hamzipendi?

Ushauri:
Msiionyeshe dunia kama mko kwenye fani hiyo kwa bahati mbaya. Onyesheni kwamba mko kwenye fani hiyo kwa sababu mnaipenda na mmeisomea. Japokuwa serikali na Chama Tawala wameifanya hiyo fani ionekane haina thamani, ni jukumu la wenye fani kuiinua na kuifanya ithaminike mbele ya jamii. Je, mwakumbuka enzi za midahalo (debate) shuleni kukiwa na mada (motion) kama "A TEACHER IS BETTER THAN A DOCTOR"?

We ndo mshamba kwani kwenye form zako za mkataba au kitambulisho kimejazwa nini kama sio EDUCATION OFFICEr GRADE 1 OR 2.kama ilivyo CLINICAL OFFICER.kila mtu ni muhimu katika nafasi yake ya kazi
 
Mtoa mada jambo uliloandika hulijui hata kdg.inawezekana wewe ni mwl wa chekechea ukajiita education oficer II ukakosolewa na ndo maana huelewi maana ya hvyo vyeo.hata askari na madaktar pia wana title za kazi zao. Jifunze kwanza kwa mapana kabla ya kuja kusumbua watu hapa jukwaani.
 
Nina swali dogo kwa walimu wenzangu Tanzania. Hivi inakuwaje wengi hampendi kutambulika kama walimu? Utamwona mwalimu ameandika kwenye profaili yake ya Facebook kuwa yeye ni Education Officer, Education Administrator n.k. Hivi kwa nini msiziache hizo kazi kama hamzipendi?

Ushauri:
Msiionyeshe dunia kama mko kwenye fani hiyo kwa bahati mbaya. Onyesheni kwamba mko kwenye fani hiyo kwa sababu mnaipenda na mmeisomea. Japokuwa serikali na Chama Tawala wameifanya hiyo fani ionekane haina thamani, ni jukumu la wenye fani kuiinua na kuifanya ithaminike mbele ya jamii. Je, mwakumbuka enzi za midahalo (debate) shuleni kukiwa na mada (motion) kama "A TEACHER IS BETTER THAN A DOCTOR"?

wewe sio mwalimu na ungekua mwalimu usingeshangaa kwa nn watu wameandika hivyo. We hujui na haujui kama haujui nadhan we unajua kila mwalimu anaajiriwa kama mwalimu.
 
Mleta mada una akili, ila unaonekana unawakejeli walimu! ebu waombe msamaha kwa kuwadhalilisha! unaleta ushauli gani nawakati hayakuhusu? waache wajiite wapendavyo ila kazi inasonga! mbona mkuu wa nchi anavojiita dk hujasema? unakuja kuponda walimu wasiokuwa na shida na mtu!
 
Back
Top Bottom