Swali: Makamu wa rais akijiuzulu rais anatakiwa afanye nini?

Swali: Makamu wa rais akijiuzulu rais anatakiwa afanye nini?

tupeni

Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
38
Reaction score
16
Ivi makamu wa raisi akijiuzulu raisi anatakiwa afanye nn?
 
Kwani katiba inasemaje? Anateua mtu mwingine kuchukua nafasi yake. Ni kama kufa tu. Kwani dr Omary Ally Juma alipokufa Ben Mkapa alifanyaje? Alituletea Shen.
 
Kwani katiba inasemaje? Anateua mtu mwingine kuchukua nafasi yake. Ni kama kufa tu. Kwani dr Omary Ally Juma alipokufa Ben Mkapa alifanyaje? Alituletea Shen.
picha la wasira limekaa kiroho mbaya kindezi yaani
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza jambo hili katika Ibara ya 50(4).
Ikiwa kiti cha Makamu wa Rais kinakuwa wazi, ikiwemo kwa sababu Makamu wa Rais amejiuzulu, Rais anatakiwa kumteua mtu mwingine kuwa Makamu wa Rais ndani ya muda usiozidi siku 14 tangu Makamu wa Rais aliyepo kuacha madaraka. Uteuzi huo unatakiwa kuthibitishwa na Bunge kwa kura ya zaidi ya nusu ya Wabunge.
 
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi ya Makamu wa Rais inapokuwa wazi, utaratibu unaohusika ni kwamba Rais anateua mtu mwingine kuwa Makamu wa Rais, na uteuzi huo unapaswa kuthibitishwa na Bunge kwa kura ya wabunge walio wengi.


Hii inaendana pia na muundo wa uongozi unaoelezwa na Ofisi ya Rais: Rais ndiye Mkuu wa Nchi na Mkuu wa Serikali, wakati Makamu wa Rais ni msaidizi mkuu wa Rais.
 
Back
Top Bottom