Swali: Mapenzi na Wanyama Ruksa?

Swali: Mapenzi na Wanyama Ruksa?

Zakumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2008
Posts
5,063
Reaction score
2,478
Kuna nchi kama vile ujerumani, wanazo sheria zinazoruhusu kufanya mapenzi na wanyama. Je inawezekana na sisi Tanzania tukawa na sheria kama hizo?
 
Hatuna sababu yoyote ya kuigiza sheria ambazo haziingii akilini hata kama sheria hizo ni halali katika nchi zinazoitwa "nchi zilizoendelea" Watanzania tuna maadili yetu ambayo hata siku moja hayataruhusu kitendo cha binadamu kufanya mapenzi na mnyama, wala sioni kama kitendo hicho cha kuwa na mnyama katika hali hiyo kinastahili kuitwa "kufanya mapenzi"

kwani kila sheria zilizopo nchi nyingine lazima ziwepo na Tanzania?
 
Assume wewe mnyama akupande....
How do you see inafaa au haifai?

I suppose you are a binti. Kama jamaa yako anakupanda, how do you see inafaa au haifai? Kwa hiyo wale watakaohamua kupanda au kupandwa na wanyama ni uamuzi wao.
 
Kuna nchi kama vile ujerumani, wanazo sheria zinazoruhusu kufanya mapenzi na wanyama. Je inawezekana na sisi Tanzania tukawa na sheria kama hizo?

It is a criminal offence! Don't try it at home!
 
Unatamani kut.iwa na wanyama? Siku nyingine muwe mnahakikisha mko sober kabla hamjaanzisha mada hapa jamvini

Unafikiri wabunge wa ujerumani walipotunga hiyo sheria walikuwa wanatamani kutiwa au walikuwa wamelewa? Afu wajerumani ni watu wenye akili.
 
Hatuna sababu yoyote ya kuigiza sheria ambazo haziingii akilini hata kama sheria hizo ni halali katika nchi zinazoitwa "nchi zilizoendelea" Watanzania tuna maadili yetu ambayo hata siku moja hayataruhusu kitendo cha binadamu kufanya mapenzi na mnyama, wala sioni kama kitendo hicho cha kuwa na mnyama katika hali hiyo kinastahili kuitwa "kufanya mapenzi"

Son;

Take it easy. Hayo maadili ya Tanzania ni ya kufikirika tu. Miaka 20 iliyopita kila binti wa kichagga alitaka kuolewa bikira. Sasa hivi wanasepa tu. Na si wameiga kutoka kwa wazungu.

Je maadili ya watanzania yanakubali ushoga? Hayakubali? Lakini mashoga si wapo. Na katika kipindi cha miaka 10 inayokuja watapewa sheria.
 
kwani kila sheria zilizopo nchi nyingine lazima ziwepo na Tanzania?

Kuwepo kwa sheria katika nchi zingine kunafungua mijadala ya kujadili sheria zetu pia. Sheria zetu nyingi tunakopi kutoka nje.
 
Iwapo wanyama watakuwa na utashi wa kuamua nani washiriki nae ngono,nadhani itakuwa sahihi tukiwa na sheria hii hili kulinda haki za wanyama,kwani nahakika hawatokuwa tayari kumvulia pichu Mnyama bin-adamu,kwa kuwa hivi sasa mmezidi kuwabaka.
 
I suppose you are a binti. Kama jamaa yako anakupanda, how do you see inafaa au haifai? Kwa hiyo wale watakaohamua kupanda au kupandwa na wanyama ni uamuzi wao.

Ushasema jamaa na sio mnyama.....mungu akusamehe bure!!!!
 
Kuna nchi kama vile ujerumani, wanazo sheria zinazoruhusu kufanya mapenzi na wanyama. Je inawezekana na sisi Tanzania tukawa na sheria kama hizo?

aisee si ruksa ni dhambi na hakuna haja ya kuwa na sheria kama hiyo ambayo haina tija kwa taifa
 
Hivi kule misri wana sheria gani mme akifiwa mke?
 
Back
Top Bottom