Swali: Mapenzi na Wanyama Ruksa?

Swali: Mapenzi na Wanyama Ruksa?

Unafikiri wabunge wa ujerumani walipotunga hiyo sheria walikuwa wanatamani kutiwa au walikuwa wamelewa? Afu wajerumani ni watu wenye akili.

Kwa hiyo wakiwa na akili wakisema ule mavi utakula eti???
 
Kuwepo kwa sheria katika nchi zingine kunafungua mijadala ya kujadili sheria zetu pia. Sheria zetu nyingi tunakopi kutoka nje.

zipo sheria za kujadili ambazo tunaona zina tija kwa taifa lakini sio hii. this is too bad
 
hahahaha lol! Son usitoke nje ya mada na kuleta mada tofauti. Tunazungumzia utaahira/uhayawani wa mtu mzima kutaka kufanya kitendo kama hicho na mnyama.

Son;

Take it easy. Hayo maadili ya Tanzania ni ya kufikirika tu. Miaka 20 iliyopita kila binti wa kichagga alitaka kuolewa bikira. Sasa hivi wanasepa tu. Na si wameiga kutoka kwa wazungu.

Je maadili ya watanzania yanakubali ushoga? Hayakubali? Lakini mashoga si wapo. Na katika kipindi cha miaka 10 inayokuja watapewa sheria.
 
Iwapo wanyama watakuwa na utashi wa kuamua nani washiriki nae ngono,nadhani itakuwa sahihi tukiwa na sheria hii hili kulinda haki za wanyama,kwani nahakika hawatokuwa tayari kumvulia pichu Mnyama bin-adamu,kwa kuwa hivi sasa mmezidi kuwabaka.

You are a great thinker. Unatumia logic na sio hamaki kama ndugu zangu waliobaki
 
aisee si ruksa ni dhambi na hakuna haja ya kuwa na sheria kama hiyo ambayo haina tija kwa taifa

Kuwa dhambi ni kosa kwa dini yako sio yangu. Kuwa dhambi sio kosa la kuvunja sheria taifa. Na sio vitu vyote tunavyofanya kwa mapenzi yetu ni tija kwa taifa. Niambie kulamba chumvi au kula koni kuna tija gani kwa taifa?
 
hahahaha lol! Son usitoke nje ya mada na kuleta mada tofauti. Tunazungumzia utaahira/uhayawani wa mtu mzima kutaka kufanya kitendo kama hicho na mnyama.

Son;

Unamtumia ngo'mbe kwa shughuli zote. Kwanini kumpenda iwe utaahira/uhayawani.
 
Duh! kila la heri Mkuu @ZA10 katika kumpenda ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, Farasi, Punda, Ngamia n.k.

Son;

Unamtumia ngo'mbe kwa shughuli zote. Kwanini kumpenda iwe utaahira/uhayawani.
 
Nadhani kila sheria inatungwa kwa sababu maalumu ili kukidhi mahitaji mapana ya kijamii kwa wakati uliopo. Hili la kutamani wanyama wa nyumbani au porini kimapenzi sidhani kama lina changamoto yoyote kwa sasa!
 
Inawezekana hata hapa sheria zikawepo.. Ila dah!!!
 
Zakumi kauliza swali lakini watu mnamshambulia kama vile yeye kasema iwe rukhsa binadamu kufanya mapenzi na wanyama.

Kwenye baadhi ya nchi hapa duniani bestiality huwa ni unlawful under animal abuse laws.

Kujadili suala hilo wala si jambo baya.
 
Yanafanana maana yote hayaendani na utamaduni wetu watanzania

Kwani kuvaa nguo ulikuwa ni utamaduni wa watanzania? Utamaduni siku zote unaendelea na mambo mapya kuingizwa.
 
Zakumi kauliza swali lakini watu mnamshambulia kama vile yeye kasema iwe rukhsa binadamu kufanya mapenzi na wanyama.

Kwenye baadhi ya nchi hapa duniani bestiality huwa ni unlawful under animal abuse laws.

Kujadili suala hilo wala si jambo baya.

Umeniokoa mkuu. Kuna mtu alifungwa miaka 30 kwa kumpalamia nguruwe huko Songea. Hakuna mjadala uliofanyika baadaye kuonyesha kwa nini kifungo kilikuwa ni miaka 30 au kwanini hilo lilikuwa ni kosa la jinai.
 
Duh! kila la heri Mkuu @ZA10 katika kumpenda ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, Farasi, Punda, Ngamia n.k.

Son;

I am still a vegetarian though
 
Back
Top Bottom