Swali: Mimba iliyoingia terehe 4-18 inaweza kuonesha dalili zozote?

Mzee unacheki time frame yako eti usije bambikwa kama mzee Abdul
 
Shukran sana mkuu,
 
Siku tano tu, anaanza kula kula vindimu ndimu na udongo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na jinsi pampasi zilivyopanda bei..kazi unayo asee.
 
Swali dogo tu
Eti mimba iliyoingia trh 4 mwezi mpaka trh 18 mwezi huu inawezq kuonesha dalili zozote kama kichefuchefu, kutapika ?
Je ujauzito unaweza kupimwa wakati huu?
Kuna dogo ameniuliza haya maswali sasa hivi , msaidieni.
Natanguliza shukrani.
Ndio inaweza because wanawakee wanatofautiana Ila hata mimba ya siku tatuu inaweza kuanza kuonyesha dalilii
 
Hongereni sana wazazi watarajiwa, na mimi natilia mkazo kwenye jina la "Mitano Tena"
Limekaa poa sana aiseeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…