Swali: Mjanja yeyote naomba ajibu hili

Swali: Mjanja yeyote naomba ajibu hili

jaffari yogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
685
Reaction score
148
Kaka yako akioa unasema "kaka yangu ana mke"
je kaka zako wakioa utasemaje?____________.
 
Copy na kupaste kwenye page fabebook ya king majuto kwa nini hukuweka source!
 
Mtego wako ulitaka tuseme kaka zangu wanawake ambayo ina imply kaka zangu ni females lakini ikiwa kaka zangu wana wake ina imply kuwa kaka zangu wameoa, kimaandishi inaeleweka kirahisi lakini verbally inaleta ukakasi kidogo kwa mtu mwenye kuelewa atatambua neno kaka linakwenda na maneno mawili ambayo ni wana wake kwa maana wana wake ni possessive adjective kama sijakosea sana, anyway kuna walimu humu jamvini watakuja na ufafanuzi mzuru zaidi ya huu lakini kwa uelewa wangu ndiyo hivyo
 
kwa hiyo asiyetoa jibu ni mshamba ??
 
Hili nali pia kwenye habari na hoja mchanganyiko na sio chit chat au joke
 
Kaka zangu wameoa
Kaka zangu wana majiko
Kaka zangu wana ndoa zao
 
Utasema "kaka zangu wana wake". Kiimaandishi na kimatamshi inaeleweka vizuri tu kwamba neno "kaka" linawakilisha jinsia ya kiume na neno "wana" ni vile vitu wanavyomiliki!
 
Nina Kaka mmoja tu, hili swali halinihusu..
 
Mr jaffari yogo, kwa nini unatuletea topic ambayo kiswahili chake akijakamilika alf unataka usaidiwe
kaka yangu ana mke. X
kaka yangu anayo mwanamke

kwa iyo hamna neno mke bali kuna mwanamke na wakiwa wengi ni wanawake
hamna neno ana bali hili ni jina, badala yake sema anayo na uwingi wake utakuwa
wanao-- kwa watu
wanayo-- kwa magari
wanazo--nyumba au pesa

kwa hiyo jibu la swali lako litakuwa kaka zangu wanao wanawake
 
Back
Top Bottom