Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Naona kila kona sasa hivi ni juu ya mafyongo ya teuzi.
Nakumbuka enzi za hayati Julius (Mwl) mtu alikuwa akipata taarifa za teuzi zake kupitia RTD na unakuta mtu yupo baa, nyumbani au kilabu cha Pombe ndio saa mbili usiku anasikia kuteuliwa kwake.
Ila nasikia enzi hizo ni idara ilikuwa kifanya pembuzi yakinifu juu ya nani anafaa kuwa kiongozi.
Enzi za hayati Mwinyi? Hayati Mkapa? Enzi za Jakaya (vimemo).
Sasa hivi kipindi cha Mama? Eti hadi marehemu anateuliwa? Idara haipembui mchele.😄🙄😁😅
====
Pia soma:
- Nani hufanya vetting pindi Rais akihitaji kupata kiongozi?
- Jenerali Ulimwengu: Siyo kila anayetangazwa kateuliwa na Rais, wengine ni Wateule wa "Influencers" Rais anaweka saini tu!