Swali muhimu: Hivi mwenye cheti cha VETA analipwa sh. ngapi kwa mwezi?

Wakuu mnao support idea ya kusoma veta tunaomba mtusaidie kutuelekeza ni kozi za namna gani zinazoweza kumpatia mtu Ajira ya kupata hyo 450k. Ninajiandaa kusoma plumbing Ila ni kwa miezi 3
Sasa cjui kama kwa lvl hiyo nawezapata Kazi dawasa? Wajuzi naombeni mnielekeze
 
Short koz, Haina market kivile, jitoshe Soma koz ndefu, ajira za Majesh ukuona fani zilizo hot, Ila kozi ndefu diri kupenya kwenye uwanja wa ajira km, majeshin na ajira za tanesco, serikalini kwa ujumla , short koz kujiajili, Chet chenyewe kinatolewa chuoni, sio Kama Cha koz ndefu kinakuwa chin ya Baraza la mitihani, na mtihani unalindwa na mitutu ya polis.
 
Umenchekesha kuwa Mtihani unalindwa na mtutu wa bunduki umenkumbusha wkt wa Pepa olevel
 
Short koz, Haina market kivile, jitoshe Soma koz ndefu, ajira za Majesh ukuona fani zilizo hot, Ila kozi ndefu diri kupenya kwenye uwanja wa ajira km, majeshin na ajira za tanesco, serikalini kwa ujumla , short koz kujiajili, Chet chenyewe kinatolewa chuoni, sio Kama Cha koz ndefu kinakuwa chin ya Baraza la mitihani, na mtihani unalindwa na mitutu ya polis.
Shukran sanA mkuu. Ila umenichekesha Sana kuhusu mitihani kulindwa na bunduki.
 
Back
Top Bottom