Swali muhimu kuhusu vifo vya Coronavirus

Swali muhimu kuhusu vifo vya Coronavirus

bizplan,

Kwenye medicine kuna cause of death..
Ambapo kuna immediate cause na underlying cause.. immediate cause ni ile condition au disease iliyosababisha mtu kufa.. underlying ni ile comdition ambayo ilimpredispoce huyo mtu hadi akapata ile immeiate cause..

Kwa case ya coroma ukiwa unaandika death cirtificate unaweza kuandika cause ya death unaanza na kile kitu kikichomfanya afe..
Mtu mwenye presha au kisukari kuwa hafi kwa kupata joto kali , respiratory failure , shock n.k.. kwahio tunaangalia nini kinaweza kusababisha hivyo vitu ambavyo obvious itakuwa ni corona virus.
Lakino huko mbele lazima tuandike na underlying cause.. maana angekuwa ni healthy person asingefikia kwenye complications zote hizo kwahio unatafuta na sababu ya kwa nini huyo mtu kacomplicate hadi kufa ndio underlaying cause ambayo ni either kisukari au cancer vinaingia.

Kwahio ukiwa unamention cause ya death unaanza na iliyosababisha sasa hivi ambayo ni either septic shock due tu COVID19 due to .........

Hope tunaelewana though ni ngumu kufikisha mawazo yoote kwenye txt tu
 
Katika magonjwa ambayo siyaogopi ni pamoja na corana

Sent from my SM-G975F using Tapatalk
Unaweza usiyaogope na yasikuue wewe lakini ukipata unaweza kuambukiza watu wengine..
Unajikuta umempa mzazi wa mtu mwingine ambaye ana kisukari.. au mbaya zaidi ukampa hata mzazi wako ambaye umri umeenda hana kinga kama uliyonayo wewe..

Muhimu ni kujikinga ili umkinge mwenzako.
 
Watu waliofariki Msamvu nini kilisababisha?
Gari, Petrol, Battery au Cheche?

Kwenye Media kipng kile ulisikia wakisema

"Ajali ya petrol/gari Msamvu morogoro"?,
Au
"Ajali ya Moto Msamvu Morogoro"..
Sasa Nini kiliwaua?.

Una Blood Pressure na Miaka yote unaishi nayo...
Likaja juha likakupa taarifa mbaya kwa haraka au Mshindo mkubwa wa sauti kwa haraka.....
Pressure ikapanda Ukazima.

Nini kimepelekea kifo cha Marehemu?
Pressure au Mshtuko?.

Kumbuka wote tutakufa..
ILA KUNA.
Kisababishi cha kifo..
kisababishi cha kifo cha haraka..
Kichochezi cha tatzo lilipelekea kifo..
 
Kwa lugha rahisi ni kwamba Corona ni catalyst tu inayo-speed up magonjwa yao ya siku zote kuua.
 
[emoji116][emoji116]
IMG_20200327_074005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninaungana na mtoa mada, case ielezewe kinaga ubaga na magonjwa aliyokuwa anaumwa marehemu yaainishwe sio kufupisha kwa kusema amekufa na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
COVID-19 is overrated.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni kweli huu ni ugonjwa. Ni kweli unaweza kuchangia kusababisha vifo. Na ni kweli tuchukue tahadhari kama tunavyochukua kwa magonjwa mengine.

But ni kweli pia upo too overated! Sijui ni kwa faida ya nani??

Unaweza shangaa wapo watu wanafaidika na hii hofu. Duniani kuna mambo!!
 
Una maanisha?
FACT CHECK!

How lethal is coronavirus?

Italy’s mortality rate for COVID-19 is 10%. But that’s misleading. Why?

Because most of those infected with Coronavirus are likely to be undiagnosed. Most of those that have died suffered from underlying health conditions.

The way Italy records its COVID-19 deaths is, shall we say, generous. Anyone who tests positive for the infection and then dies is recorded as a 'COVID-19 death' - even if that person had stage 4 cancer!

So...should politicians really be using these figures to make policy?

Rt.com
 
FACT CHECK!

How lethal is coronavirus?

Italy’s mortality rate for COVID-19 is 10%. But that’s misleading. Why?

Because most of those infected with Coronavirus are likely to be undiagnosed. Most of those that have died suffered from underlying health conditions.

The way Italy records its COVID-19 deaths is, shall we say, generous. Anyone who tests positive for the infection and then dies is recorded as a 'COVID-19 death' - even if that person had stage 4 cancer!

So...should politicians really be using these figures to make policy?

Rt.com

That's fact mkuu. That's what i meant. Ninashangaa why other people dont see this, they creat uncessary fear. They put life at a stand still, why? What are they benefiting?
 
Back
Top Bottom