Swali: Mwali ni nani?! Je kuna mwali wa kiume na kike?

Swali: Mwali ni nani?! Je kuna mwali wa kiume na kike?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Mwali ni msichana ambae hajaguswa

Ukimpiga ziwa lake ni gumu kama skonsi

Huyo ndio mwali wa kike

Mwali wa kiume ni nani?
Mwali wa kiume ni mwanaume ambae bado hajaguswa

Hata ukimwuliza gololi zako zinaoshwa na mchanga, maji, maziwa au maji ya ndimu, atakujibu ndio nini!

Kwako wewe tujuze mwali ni nani?
1000182934.jpg
 
Mwali ni msichana ambae hajaguswa

Ukimpiga ziwa lake ni gumu kama skonsi

Huyo ndio mwali wa kike

Mwali wa kiume ni nani?
Mwali wa kiume ni mwanaume ambae bado hajaguswa

Hata ukimwuliza gololi zako zinaoshwa na mchanga, maji, maziwa au maji ya ndimu, atakujibu ndio nini!

Kwako wewe tujuze mwali ni nani?View attachment 3065865
"Mwali" au kiushaihi zaidi "mwari" ni nembo tu ya kujulisha binti tayari kishaingia balehe Haiwahusu wanaume.

Wanaume waliokwisha balehe wanaitwa "barobaro" Kiswahili.
 
Back
Top Bottom