Secret genius
Member
- May 3, 2020
- 56
- 36
Kosa la kupewa red card ni kwa kuvua jezi kwani lini mchezaji aliadhibiwa kwa kufunga goli.Je,kama mchezaji alikuwa na kadi ya njano akafunga goli then akavua jezi na kupewa kadi nyingine ya njano kisha red card,ila baada ya VAR check ikaonekana siyo goli,je kadi nyekundu itafutwa na mchezaji kurudi uwanjani tena?