Swali,mwenye majibu sahihi tafadhali

Swali,mwenye majibu sahihi tafadhali

Secret genius

Member
Joined
May 3, 2020
Posts
56
Reaction score
36
Je,kama mchezaji alikuwa na kadi ya njano akafunga goli then akavua jezi na kupewa kadi nyingine ya njano kisha red card,ila baada ya VAR check ikaonekana siyo goli,je kadi nyekundu itafutwa na mchezaji kurudi uwanjani tena?
 
Kosa la kupewa red card ni kwa kuvua jezi kwani lini mchezaji aliadhibiwa kwa kufunga goli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Kufunga goli bandia siyo kosa, ila kuvua jezi ndiyo kosa...

Cc: mahondaw
 
Hatapewa kadi kwa kuwa matukio yote baada ya kosa linalo amriwa na VAR huwa nothing
 
Back
Top Bottom