Swali : Nani mchunguzi mkuu wa matumizi ya Benki Kuu Tanzania?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Ningependa kujua ni nani mchunguzi mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania?

Navyosema mchunguzi ni kwa matumizi ya bank kuu na budget za kujiendesha kama kulipa wafanyakazi, majengo, uendeshaji wote wa shughuli za kibank. Wasiwasi wangu ni kwamba bank kuu yetu ya Tanzania haijapewa mandate ya kusaidia uchumi kama inavyotakiwa. Na inawezekana kabisa wanajichunguza wenyewe kitu ambacho sio kizuri.

Bank kuu yetu inatakiwa ipewe kazi mbili kuu kisheria ukiacha kazi za kuangalia bank nyingine. Bank kuu inatakiwa iongezewe jukumu la kusaidia ajira au kupunguza watu ambao wanatafuta ajira hii ni muhimu sana kwa bank kuu yeyote kupewa. Lakini matumizi ya majengo ya bank kuu kama lile la mwanza ni kubwa sana nani anachunguza matumizi?

Wenzetu wameweka hivi

Apart from price stability, we can point out a few other elements frequently included in the central banks' mandates. These include, for example, promoting sustainable and stable economic growth, maintaining full employment, preserving financial stability, and defending the international value of the domestic currency.Nov

Pascal Mayalla nime ku copy P unisaidie kwenye hili sijui kama mkaguzi mkuu anachunguza bank kuu🤔
 
Mkaguzi ni yule mzee wa bakora aka zuzu.
 
Pascal Mayalla nime ku copy P unisaidie kwenye hili sijui kama mkaguzi mkuu anachunguza bank kuu[emoji848]
mmh umesoma Finance kweli?

Mmmh Commerce ya o level?

Economics adv level?

Maana hayo yapo tu kazi za BOT
 
Ningependa kujua ni nani mchunguzi mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania?

Navyosema mchunguzi ni kwa matumizi ya bank kuu na budget za kujiendesha kama kulipa wafanyakazi, majengo, uendeshaji wote wa shughuli za kibank. Wasiwasi wangu ni kwamba bank kuu yetu ya Tanzania haijapewa mandate ya kusaidia uchumi kama inavyotakiwa. Na inawezekana kabisa wanajichunguza wenyewe kitu ambacho sio kizuri.

Bank kuu yetu inatakiwa ipewe kazi mbili kuu kisheria ukiacha kazi za kuangalia bank nyingine. Bank kuu inatakiwa iongezewe jukumu la kusaidia ajira au kupunguza watu ambao wanatafuta ajira hii ni muhimu sana kwa bank kuu yeyote kupewa. Lakini matumizi ya majengo ya bank kuu kama lile la mwanza ni kubwa sana nani anachunguza matumizi?

Wenzetu wameweka hivi

Apart from price stability, we can point out a few other elements frequently included in the central banks' mandates. These include, for example, promoting sustainable and stable economic growth, maintaining full employment, preserving financial stability, and defending the international value of the domestic currency.Nov

Pascal Mayalla nime ku copy P unisaidie kwenye hili sijui kama mkaguzi mkuu anachunguza bank kuu🤔
Mimi
 
Yaani nauliza mkaguzi wa BOT ni nani wewe unaniambia kazi za BOT!!? Hujajibu swali
Unataka kujua mkaguzi wa BOT

Ni External auditors,

Ingawa JPM alitaka pia CAG aingie kati

Kumbuka BoT inabidi iwe independent organ

Bank kuu zote duniani inabidi zisiingiliwe na siasa za nchi

Benno Ndulu na Balali were the Best

Central Bank zote inabidi ziwe independent ili zijenge uchumi bora

BOT ya leo pongezi kwa Benno Ndulu sana

The legend
 
Ni External auditors wapi? report inapatikana wapi? naona bado sijapata jibu kamili
 
Tungependa tupate maelezo yaliyoshiba juu ya swali hili hapa kwa faida ya jukwaa. Hivyo si vizuri kuleta mizaha. Mjuzi wa hili jambo atusaidie hapa.
 
Yaani nauliza mkaguzi wa BOT ni nani wewe unaniambia kazi za BOT!!? Hujajibu swali
Kwenye watu wajinga na wewe umo matumizi yote ya serikali na taasisi zote za serikali mkaguzi mkuu ni CAG

Kuhusu Hilo swala la full employment naona hujui majukumu ya Benki kuu Benki kuu kazi yake ni kutunza pesa za serikali na za mabenki na kusimamia mambo yanayohusu uchumi unaohusiana na masuala ya fedha sio ajira za kuhakikisha mtu kaajiriwa kwa mhindi au serikalini
 
Ni External auditors wapi? report inapatikana wapi? naona bado sijapata jibu kamili
Nenda ofisi ya CAG utapata ripoti zote za ukaguzi wa wizara zote na taasisi zote za serikali ikiwemo BOT unauliza kibabe wakati umejaa ujinga tu
 
Unataka kujua mkaguzi wa BOT

Ni External auditors,

Ingawa JPM alitaka pia CAG aingie kati

Kumbuka BoT inabidi iwe independent organ

Bank kuu zote duniani inabidi zisiingiliwe na siasa za nchi

Benno Ndulu na Balali were the Best

Central Bank zote inabidi ziwe independent ili zijenge uchumi bora

BOT ya leo pongezi kwa Benno Ndulu sana

The legend
Wew kiazi kweli huyo si ndo Ali ruhusa pesa za escrow na pia alipaosha shilingi yetu kutoka 1300 hadi 2400
 
Nenda ofisi ya CAG utapata ripoti zote za ukaguzi wa wizara zote na taasisi zote za serikali ikiwemo BOT unauliza kibabe wakati umejaa ujinga tu
Kwahiyo jibu lako ni mkaguzi mkuu CAG Mimi natafuta jibu la uhakika tu hapa
 
Kwenye watu wajinga na wewe umo matumizi yote ya serikali na taasisi zote za serikali mkaguzi mkuu ni CAG

Kuhusu Hilo swala la full employment naona hujui majukumu ya Benki kuu Benki kuu kazi yake ni kutunza pesa za serikali na za mabenki na kusimamia mambo yanayohusu uchumi unaohusiana na masuala ya fedha sio ajira za kuhakikisha mtu kaajiriwa kwa mhindi au serikalini

Unaongelea Tanzania pekee US ni tofauti. Tukiongea tuna uzoefu na tunajua tunachoongea na sio kukariri !

Our two goals of price stability and maximum sustainable employment are known collectively as the "dual mandate."1 The Federal Reserve's Federal Open Market Committee (FOMC),2 which sets U.S. monetary policy, has translated these broad concepts into specific longer-run goals and strategies.3

Price stability​

The Committee judges that inflation at the rate of 2 percent, as measured by the annual change in the Price Index for Personal Consumption Expenditures (PCE), is most consistent over the longer run with the Federal Reserve's statutory mandate. The Committee has also explicitly noted that the inflation target is symmetric and stated that it "would be concerned if inflation were running persistently above or below this objective."4

Maximum sustainable employment​

Many nonmonetary factors affect the structure and dynamics of the labor market, and these may change over time and may not be measurable directly. Accordingly, specifying an explicit goal for employment is not appropriate. Instead, the Committee’s decisions must be informed by a wide range of labor market indicators.

Information about FOMC participants' estimates of the longer-run normal rate of unemployment consistent with the employment mandate can be found in the Summary of Economic Projections (SEP).5 Most recently, the median Committee participant estimated this rate to be 4.1 percent.
 
External auditors kama Delloite, ErnestYoung, PwC au KPMG..mmoja kati yao.

Ingawa CAG, kama naye aliambiwa akague hii nchi kuna vitu havijawahi kuwekwa wazi kivileeeeeee. Sera za kichama dola.

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom