Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nimegee mkuu. Nadhani Nalendwa akijua atafurahi piaHaha..
ni habari nzuri ameonwa na jicho moja tu.
Unajua maana ya hiyo HB? Ni ainisho ya jina langu
Wapi Inna?Shunie
Sky
Espy
Geno
Nalendwa
Nightbright
Ukhuty
Numbisa
Emmyta
Jje's
Miss chagga
Nahuja
Carba
Maserati
Mbiti
Mzigua90
Tumosa
Cute b
Hizo herufi ni za mtu mmojaN..
S..
K..
A..
I..
Ewaaaaa...Wapi Inna?
Hebu nimegee mkuu. Nadhani @Nalendwa akijua atafurahi pia
Kila herufi na mtu wake.Hizo herufi ni za mtu mmoja
Kwa nini tena unavunjikaje undugu na auntie yangu
Ahahhaha si unajua vile nakupenda ndio mana nimecheka kwenye jina lakoWewe cha urembo kwenye jna langu umeamua kucheka sawa tu
MFUATE INSTAGRAM HAYUPO HUKUhivi Mange Kimambi hayumo humu?
huyu ndiye the queen of the moment!
Wewe ndo malikia wangu wa nguvu ningekuwa me aiseee ungenikimbia pmAhahhaha si unajua vile nakupenda ndio mana nimecheka kwenye jina lako
....ngoja nimlete huku aje anyakue taji lake!MFUATE INSTAGRAM HAYUPO HUKU
Kuna herufi mbili umeniacha njia panda yaan hata hazikujiKila herufi na mtu wake.
Ipi na ipi?Kuna herufi mbili umeniacha njia panda yaan hata hazikuji
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] I love u know [emoji8][emoji8][emoji8] in le mbebez voiceWewe ndo malikia wangu wa nguvu ningekuwa me aiseee ungenikimbia pm