Swali: Ni Mkoa gani CHADEMA hawana kesi/matatizo??

Swali: Ni Mkoa gani CHADEMA hawana kesi/matatizo??

NKUU SINDE KWETU

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
830
Reaction score
91
Wana JF!
CDM karibia kila mkoa wana kesi na matatizo kwenye mahakama na polisi Tanzania.

Tanzania siasa za vyama vingi imeanza toka 1992, mbona ni wao tu wana kesi,vurugu na matatizo hapa Tanzania.??

Hizo pesa mlizopewa kuvuruga Amani muwe nazo makini!

Swali; Je wanachadema wote mna passport??

NKUU SINDE!
 
Mtwara kaka!!au una habari juu ya Chadema kufungua kesi/matatizo yoyote mkoa huo??
 
Mkuu Ngendalikoma,hivi hapo Kigoma hawakumfungulia kesi Peter Serukamba kweli??hebu tafuta taarifa za uhakika kuhusu hilo
 
Wana JF!
CDM karibia kila mkoa wana kesi na matatizo kwenye mahakama na polisi Tanzania.

Tanzania siasa za vyama vingi imeanza toka 1992, mbona ni wao tu wana kesi,vurugu na matatizo hapa Tanzania.??

Hizo pesa mlizopewa kuvuruga Amani muwe nazo makini!

Swali; Je wanachadema wote mna passport??

NKUU SINDE!

Tukuulize wewe mbona kilachama kinacho onekana kuwa na nguvu kubwa kuipinga CCM ndicho kinatengenezewa hujuma na magamba kupitia policeccm tena kwakuchokozwa either kwakunyimwa haki ilikijibu kionekane kibaya kwa kutetea haki tuliona kipindi CUF walipokuwa na nguvu wakaambiwa wameingiza kontena la visu mpaka leo hatujawahi kuonyeshwa hilo contena
 
Kwani CCM wanachama wake wote wana hati ya kusafiria??
 
Mkuu Ngendalikoma,hivi hapo Kigoma hawakumfungulia kesi Peter Serukamba kweli??hebu tafuta taarifa za uhakika kuhusu hilo

Kesi ya Serukamba ilichakachuliwa na ikaisha sasa hakuna kesi, labda mleta uzi hapa ana muundo mbinu mwingine wa kuibua kesi huku. But atambue kuwa akizidisha tuu hakuna hata mende atakayepona kwao(Akiba ya akili nampa)
 
Kuwa na kesi ndio dalili nzuri ya demokrasia. Kwani unapodai haki usitegemee uipate chini ya meza. CDM msirudi nyuma mwendo mdundo 2015 CCM watakuwa wapinzani bungeni!
 
Back
Top Bottom