Swali ni moja tu, je huyu mwamba ni asset au liability?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,923
Reaction score
40,246
Bila kuelemea upande wowote, kijana wetu (Polepole)kaacha kazi ya ubalozi

Kaacha maokoto, kaacha vitu vyote vinavyoambatana na hadhi ya ubalozi

Kimsingi, huo ni ujasiri mkubwa, ameamua kusimamia kile anachoamini

Kwa kiasi fulani, kaacha unafki, kachagua upande bila ya kujali gharama kubwa atakayolipia

Swali kuu ambalo sisi keyboard warriors tunajiuliza, je huyo kijana ni asset au liability

Kwa haraka haraka, ni mwenzao, wamemkuza, anafanana nao, je ana jambo gani jipya ambalo anaweza kutupa sisi wadanganyika?

Je hatupaswi kujiuliza maswali magumu, huu siyo mpango wa kutupoteza focus yetu kwenye mambo ya msingi tunayoamini na kuyapigania?

Je hili jambo siyo Trojan Horse? Kwa maana naambiwa hawa watu ni hodari kuzua mambo ya mzaha ili kuzima mambo ya msingi

Tuendelee kutafakari
 
Kwao wao ni liability ila kwa taifa ni ongezeko la sauti yenye Uzalendo ndani yake.
 
Jamaa Hana hata familia .
Hana cha kupoteza hata asiporudi tz.
Unadhani angekuwa na watoto angefanya hivo?au kapata mzungu huko
 
Katika nchi ya maajabu kama hii yetu yote uliyobainisha yanawezekana. Pia ni muhimu tujiulize amefanya hayo kwa manufaa au masilahi ya nani?

Tusisahau Polepole alikuwa mnazi wa sera na falsafa za ujamaa. Baada ya kukaribishwa mezani na kuonja utamu wa kiyoyozi cha V8 alibadilika ghafla. Sitaki kumhukumu pengine alikengeuka ila ni mapema mno kumuamini. Muda utakuwa hakimu mzuri tutajua mbichi na mbivu.
 
Back
Top Bottom