Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
NIMEULIZWA: NIOE AU NIOLEWE WAPI?
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Watu kadhaa wameniuliza swali hili Baada ya kusoma Makala yangu inayomhusu Kaka Mkubwa PFunk Majani.
Wameniuliza; NIOE wapi? Kwa upande wa wanaume.
Wanawake nao wakaniuliza; TUOLEWE wapi?
Kwenye kuoa na kuolewa kuna maswali Makuu mawili ambayo lazima mtu ayazingatie:
1. Niolewe/NIOE wapi?
2. Nimuoe/niolewe na nani?
Hayo ndio maswali makuu ya lazima kwa waoaji/waolewaji wote wanaotaka kujenga familia bora na imara.
Hata ukifika ukweni utaulizwa maswali hayo mawili tuu, sio zaidi ya hapo.
1. NIOLEWE/ NIOE WAPI?
Mke au mume hapatikani popote pale Duniani, ipo sehemu maalum ya kumpata Mkeo au mumeo.
Kuna tofauti ya Mke na mwanauke, halikadhalika kuna tofauti ya Mume na mwanaume.
Mwanamke Vs Mwanauke
Mwanamume Vs Mwanaume
MwanaMKE ni mtu mwenye jinsi ya kike aliyeolewa.
MwanaUKE ni mtu mwenye jinsia ya kike kutokana na kiungo cha uzazi kiitwacho UKE
MwanaMME ni mtu mwenye jinsia ya kiume aliyeoa
MwanaUME ni mtu yeyote mwenye jinsia ya kiume kutokana na kiungo cha uzazi kiitwacho UUME
Mtu anapotaka kuwa Mume/mke sharti ajue wapi atampata mwenza wake
Je wapi utampata Mume au mke wako?
Je ni shambani?
Je kwenye majiji?
Je ni Kanisani au msikitini?
Au barabarani, chuoni au wapi?
Jibu ni moja tuu, nalo ni;
Mahali utakapompatia Mumeo au Mkeo ni kwenu Hakuna Mbadala wake hapo.
Kwenu ni wapi?
Kwenu ni mahali Babu zako walipozaliwa, asili yenu ilipo. Kama ni Mnyakyusa basi nenda Mbeya ukaoe/kuolewa na watu wa kwenu au wenye Ukaribu na kwenu, mliofanana utamaduni.
Kama ni Muha nenda Kigoma, kama ni Mhaya nenda Kagera. Halikadhalika na Makabila mengine.
Watu wengi wataniona kama mkabila lakini watashindwa kujua kuwa sio mimi niliyeweka huo ukabila. Isipokuwa Mungu mwenyewe.
Na Mungu alikuwa na Sababu zake, kwa wasioamini habari za Mungu basi Nature Inasababu zake.
Biblia Inatoa muongozo katika hili, kwa kuonyesha kuwa ni muhimu na vizuri kwa mtu kuoa kwao kwani kuna faida nyingi zaidi kuliko kuchangamana na makabila au asili zingine.
Tunamuona Ibrahimu alimchukua Sara nduguye(sio kwa kuzaliwa) na kumuoa.
Tunamuona Ibrahimu akimtafutia Isacka mke akamchukulia Rebeka kutoka kwao.
Tunamuona Yakobo naye akifanya vile vile kama baba zake.
Mungu anaonya sana kuhusu kuchanganya asili yaani makabila
Hata Yesu pia anaonya jambo hilo hilo.
Mmomonyoko wa maadili kwa sehemu kubwa umechangiwa Na intermarriage na sio kitu kingine.
Jamii ambazo hazipendelei intermarriage kama Wahindi, wayahudi, wachina na baadhi ya makabila ya kiarabu bado wanamaadili kwa sehemu kubwa.
Intermarriage ndio imeangusha taasisi ya ndoa
Hata miaka ya nyuma hapa kwetu Tanzania nyuma ya miaka 60 hapakuwa Na intermarriage na kama ilikuwa ilikuwa kwa sehemu ndogo sana.
Jamii karibu zote zilikuwa na maadili. Wala hapakuwa na Elimu wala dini za wageni kwa sehemu kubwa. Lakini bado maadili yalikuwepo
Dini zilizopo kamwe hazitawezi kuleta maadili
Zaidi ya yote zinazidi kuharibu maadili
Elimu ya shule kamwe haiwezi kuleta maadili zaidi ya yote ndio itazidi kuharibu jamii.
Kutokujua wapi kwa kuoa au Kuolewa ni Chanzo Kikukuu cha Mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii na dunia. Intermarriage imeharibu kizazi hiki.
Intermarriage haiwezi Dhibiti maadili ya watoto kwani wakati jambo Fulani ni kosa kwa kabila hili kwa kabila jingine sio kosa.
Hivyo wazazi wanajikuta sio kitu kimoja katika malezi ya watoto.
Ndoa nyingi zitakuwa part-time kwa sababu hakuna uhusiano wa kudumu wa wanandoa.
Ndoa huunganishwa na Upendo lakini upendo huendeshwa na Utamaduni, Miiko, desturi n.k
Kama kinachoendesha upendo kina utofauti mkubwa baina ya Mke na mume basi ndoa hiyo ipo mashakani.
Kila siku kutakuwa na ugomvi na migogoro isiyoisha.
Mke au Mume hupatikana baada ya uchunguzi kufanyika.
Ndoa lazima iwepo na uchunguzi baina ya pande zote mbili. Uchunguzi wa kina.
Sasa huwezi chunguza mtu usiyejua Tamaduni na desturi zao. Labda uulizie kwa watu ambao hata hivyo wanaweza wakakudanganya au wakakuambia ukweli
Ni ngumu sana, lakini ni rahisi kumchunguza mtu unayetoka utamaduni mmoja, Mika, desturi na dini moja kwani nawe unajua ndani nje kuhusu mambo yenu hayo.
Mtu kama ni Mchagga akishakuambia anatoka ukoo Fulani basi kwa vile nawe na mchaga unajua watu hao wakoje. Akikuambia ni Mluguru anayetokea Ukoo wa Mogela kwa vile nawe na Mluguru au Mporogoro basi unaweza kumfanyia usaili vizuri
Kutafuta Mke/Mume ni kama kutafuta mfanyakazi kwenye kampuni yako ya ndoa. Lazima uwe makini kwenye kufanya usaili.
Kwenye usaili, mtu anayefanya usaili lazima awe anajua mahitaji ya kampuni na kazi aliyoitangaza. Mtu ambaye ni Mwanasheria hawezi mfanyia usaili Daktari. Au kwenye usaili wa Polisi, Mwalimu hawezi kuwa muongoza usaili kwani hana anachojua kuhusu upolisi. Zaidi atauliza mambo ya jumla jumla.
Ndivyo hata katika kuoa na kuolewa.
Huwezi mfanyia usaili Msichana ambaye sio asili yako ati umpe kazi ya kuwa mke.
Au umfanyie usaili mwanaume ambaye sio asili yako ili umpe kazi ya kuwa Mume. Mtalaumiana tuu. Hiyo kampuni itafilisika
Lazima udanganywe kwani huna ujualo katika kabila la mwenzako.
Kuna mmoja akaniuliza sasa nipo MJINI nimekutana na kijana nikampenda nitamchunguzaje? Nilimjibu kaolewe kwenu.
MJINI sio mahali pakupatia na kutafutia wake/waume, MJINI ni sehemu ya kutafutia riziki au kipato.
Ukipata mtu wa kwenu hewala usipopata Rudi kwenu au Jirani za kule kwenu ukatafute Mume au mke
Mbona kina Ibrahimu, Yakobo, isacka kina Yusuph walirudi nyumbani licha ya wao kuishi mijini.
Athari za kutokuoa kwenu utaziona migogoro ikianza ndani ya nyumba.
Utaziona ndugu wakija kuwatembelea.
Utaziona siku yakitokea matatizo kama vile magonjwa na hali ngumu kimaisha.
Utaziona kwenye ugawaji wa Mirathi
Utaziona siku mkitengana
Mtaziona siku mmoja wenu anapotaka kwenda kusalimia
Mmoja kwao Arusha mwingine kwao Mbeya.
Utaziona kwenye ugawaji wa majina ya watoto.
Mtaziona siku mkipatwa na matatizo mtashindwa kujua mtamuomba Mungu wa mzimu upi?
Waisrael humuomba Mungu wa Mzimu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo
Na hapa ndio kuna kuyumba sana kwani Mungu mara nyingi husikia maombi kupitia kwa mtu fulani(Mzee wa ukoo) aliyekuwa mtenda mema. Ili akikumbuka mema za Mzee huyo akusikilize wewe.
Ndio maana Waisrael walimtumia Mzimu Ibrahimu kuwasilisha dua zao kwa Mungu. Mungu aliwasikia kwa sababu ya mtumishi wake Ibrahimu. Hii ni kusema bila Ibrahimu asingewasikiliza.
Sijui kama naeleweka
Sasa wewe unapofanya intermarriage unatengeneza mazingira Magumu kwa kizazi chako wapatwapo na msala ulionje ya nguvu za kibinadamu.
Hata hivyo Kwa upande wa dini huenda imerahisisha. Wale wenye Imani wakiomba hutumia jina la Yesu kuwasilisha maombi yao kama mbadala wa kutokujua Mababu zao waliotenda mema.
Sio kosa, waislam humtumia Muhamad kama sehemu ya kujitambulisha kwa Mungu.
Jambo moja la uhakika ni kuwa uhusiano wa kinasaba kwenye maombi hujibiwa kwa urahisi zaidi.
Hata hivyo dini za wageni siku Hizo ndio zimegeuka utamaduni. Sio kosa
Lakini itapendeza kama dini ikawa moja na mkiwa mnatoka sehemu moja. Hii itawasaidia sana nyakati za majaribu
Kama Ibrahimu alivyokaribiwa na Utasa wa mke wake
Niishie hapa wavivu wakusoma wasinipige mawe
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Mikese.