Hank_31
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 862
- 2,148
Mkuu, upo sawa kwa 80%.
1: Ni kweli kabisa ndoa haiunganishwi kwa upendo, maana kuna kipindi upendo hua unaisha.
2: Intermarriage ndo chanzo cha mmomonyoko wa maadili katika jamii.
But Mungu aliposema kwenu hakumaanisha makabila kama ulivyosema katika uzi wako, ulijaribu vizuri kuelezea lakini baadae ukatoka tena nje, "kwenu" iliyomaanisha pale ni watu wanaomwabudu Mungu mmoja huyo aliwapa hilo agizo.
Hi ni dhahiri kabisa maana hata huyo Mungu uliesema alisena uoe/kuolewa na watu wa kwenu ni Mungu wa Israel, na Israel ina makabila 12, so inakuaje?
Kwa kua swala la ndo ni la kirooho zaidi na ndo taasisi kubwa katika jamii Mungu alitaka watu wake waone wao kwa wao ili kutochangamana na roho za miungu mingine.