Swali: Pete za ndoa!!

but also France and Germany wore the ring on the same finger but the right hand? do u also know that?
 

Ni ukweli kuwa inaaminika na Wagiriki na Warumi wa kale kuwa kidole cha nne kina uhusiano wa moja kwa moja na moyo kwa kuwa kina unganiko na mshipa wa damu toka kwenye moyo, na mshipa huo unaitwa "Vena Amoris" au "Vein of Love".
Hivyo lengo la kidole cha nne na "Vein of Love", ambapo moyo huusika moja kwa moja kwenye neno PENDO au LOVE ni kuonesha kuwa ndoa ni zao la PENDO.
 

mkuu angalau umenielimisha hili maan sikuwa na hata idea..na tunavyopenda kuiga watu weusi basi. ndio tunakomaa nayo kishenz..
 
Pia kuna hii nadharia:

*kidole Gumba = kinawakilisha wazazi wako
*Kidole kinachofuata baada ya gumba = Kinawakilisha ndugu wa tumbo moja
*Kidole cha katikati = kinakuwakilisha wewe mwenyewe (binafsi)
*Kidole cha nne = kinawakilisha mwenzi wa maisha
*Kidole kidogo cha mwisho = kinawakilisha watoto wako

Sasa jaribu kufanya hili zoezi dogo ili tuhakiki hiyo nadharia:



Kutanisha vidole vya mikono yako kama ambavyo inaonekana katika hiyo picha hapo juu.

1. Jaribu kuachanisha ncha za vidole gumba (wazazi), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na wazazi wako milele

2. Jaribu zoezi hilo kwa vidole vinavyofuata (ndugu), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na nduguzo milele, kaka na dada zako watakuwa na maisha yao binafsi.

3. Jaribu kuachanisha kwa vidole vidogo vya mwisho (watoto), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na wanao milele maana nao watakua na kuolewa au kuoa.

4. Mwisho, jaribu kuachanisha vidole vya PETE (mwenza), hahahah hutaweza ndugu maana hivyo vilishaandaliwa kuwa pamoja daima milele, maana yake mke na mume wataishi milele na hakuna cha kuwatenganisha. Na hii ndio sababu tunavaa pete kwenye kidole cha NNE.

"Don't hesitate to hit the like button for this clue"
 
Mkuu Bovidae, as I said ancient Greek/ Roman philosophers believed that and I further clarified I don't know whether that is correct or not...

PetCash, nimekuelewa vizuri sana. Hata mimi sikuwa namaanisha kuwa hivyo ndivyo unavyoamini na kuelewa maana ulieleza vizuri sana kwenye aya yako. I was just thinking aloud and try to be funny; anatomically funny!
 
Mkuu Bovidae, as I said ancient Greek/ Roman philosophers believed that and I further clarified I don't know whether that is correct or not...

PetCash, nimekuelewa vizuri sana. Hata mimi sikuwa namaanisha kuwa hivyo ndivyo unavyoamini na kuelewa maana ulieleza vizuri sana kwenye aya yako. I was just thinking aloud and try to be funny; anatomically funny!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…