Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pete huvaliwa kidole cha nne cha mkono wa kushoto kwa sababu;
Kwenye historia ya kigiriki na kirumi ya zamani (Grecian-Roman mythology) mungu jua (Apolo) alikuwa akiheshimiwa sana. Sasa philosophers walikuwa wakiamini wakati huo kwamba kidole hicho cha nne cha mkono wa kushoto kilikuwa tofauti na vingine kwa sababu kina mshipa wa damu unaotoka moyoni moja kwa moja (Sijawahi kujua kama walikuwa sahihi ama sivyo)
Kwa sababu walikuwa wakimuomba Mungu Apolo alinde ndoa zao, yeye ni mungu jua hivyo alama yake ikawa ni hiyo pete ya gold (It must be gold to symbolize the sun) ni lazima awekwe kwenye hicho kidole ili ulinzi wake uende moja kwa moja moyoni bila kupitia popote (So again it must be that specific finger)
.

Kwa wakristo wanaong'a ng'ania hizo pete, hakuna muongozo kwenye biblia unaoonesha kwa uhakika kwamba pete lazima iwekwe kwenye kidole hicho na lazima iwe ya gold, hayo ni mapokeo ya kipagani.
Unfortunately wengi hawajui na huingia tu kwenye huo utamaduni kwa kuiga.
Mkuu Bovidae, as I said ancient Greek/ Roman philosophers believed that and I further clarified I don't know whether that is correct or not...