Swali pevu: Je sifa zimuendee RC Makonda au Kocha Amunike kwa mabadiliko tuliyoyashuhudia.

RC Makonda anasimamia ilani ya CCM juu ya utekelezaji wa sera ya michezo. Ametimba Cairo kuhakikisha anarudi na majawabu ya kuwapa wananchi pindi watakapohoji kunako 2020.

Amunike yeye anatimiza majukumu yake ya kimkataba na amewatumia salamu wale waliohoji uwezo wake na kumwita dalali.

Binafsi naona wote wawili pamoja na wachezaji wanastahili pongezi.
Wewe je?

Maendeleo hayana vyama!
Takataka tuuu ninyi
 
Pongezi ya kufungwa 3-2? Goli 2 kipindi cha pili!? 😳😳😳😳

kumbe ninyi ndiyo maboi wa Bashite aliowasema Ndugai.

FT
SISI HAPA 3-2 BASHITE
 
RC Makonda anasimamia ilani ya CCM juu ya utekelezaji wa sera ya michezo. Ametimba Cairo kuhakikisha anarudi na majawabu ya kuwapa wananchi pindi watakapohoji kunako 2020.

Amunike yeye anatimiza majukumu yake ya kimkataba na amewatumia salamu wale waliohoji uwezo wake na kumwita dalali.

Binafsi naona wote wawili pamoja na wachezaji wanastahili pongezi.
Wewe je?

Maendeleo hayana vyama!
Good!
Tunawapongeza kwa kufungwa.
ilani haitekelezeki.
 
Hahahaha mmetekeleza ilani kwa kishindo.
IMG-20190628-WA0000.jpeg
 
RC Makonda anasimamia ilani ya CCM juu ya utekelezaji wa sera ya michezo. Ametimba Cairo kuhakikisha anarudi na majawabu ya kuwapa wananchi pindi watakapohoji kunako 2020.

Amunike yeye anatimiza majukumu yake ya kimkataba na amewatumia salamu wale waliohoji uwezo wake na kumwita dalali.

Binafsi naona wote wawili pamoja na wachezaji wanastahili pongezi.
Wewe je?

Maendeleo hayana vyama!
Wote kwa pamoja kuanzia 'Team Ushindi' ya RC Makonda, Amunike et all na Wachezaji wote.congratulations, wamekufa kiume, ni vidosari vidogo tu vya kurekebisha.we are bocoming better kila siku.
 
Back
Top Bottom