Swali pevu: Je sifa zimuendee RC Makonda au Kocha Amunike kwa mabadiliko tuliyoyashuhudia.

Kiherehere hicho.

 
Asee ni kosa kubwa sana tena ni dhambi kuhusisha suala la Kitaifa na uchama!,hivi viongozi wa awamu hii wanamatatizo gani?? Unawezaje kusema Taifa stairs inatekeleza ilan ya chama cha mapinduzi ili hali ukijua ni kuligawa Taifa kwa namna nyingine!!, Wtz tuliwengi tumefurahia pamoja na Wabunge wote naamin wamefurahia sana. mm nikajua aliyeenda misri awamu ya pili atatoa hamasa kuliko hata pierre kumbe ndio kapeleka mkosi tu.
 
Hao si ndio wale vikaragosi praise team ya kusikia hata sauti ya ushuzi wanadai ni trumpet, kisa imetoka kwa bwana wao.
Hawa vinyankera wanaudhi sana mkuu. Hata kuongea nao tu itabidi uwe mvumilivu na ujishushe sana kwa sababu they are so empty upstairs. Bora nishinde naongea na mtoto wa chekechea kuliko hawa mbweha
 
Polepole unlike yo post,hahah.
 
Hii post itakuwa ilitoka kabla ya muda sahihi, kama zingesubiriwa dakika 90 nina imani isingetolewa.
 
Kabla ya Bashite tulipigwa 2 ujio wake umesababishwa tupigwe 3
Na ikiwa "mlevi wa taifa" analipiwa ili akalewee ugenini "ati anahamasisha!!!" Tunakula 2 halafu anakwenda Mpendwa wetu tunakula 3 toka timu tunayoudharau..... sasa sijui hiyo mechi ifuatayo anakwenda nani..!!???
Tusilazimishane UZALENDO KWENYE HAKUNA... HAKUNA UZALENDO WA SIFA NA MATANGAZO, UZALENDO UKO MIOYONI!!
Tujipange ama tuchague kufanya siasa kwenye mambo ya msingi...
 
Wale vijana aliosema Ndugai kuwa wanamilikiwa na huyo Bashite wewe ni miongoni.
 
Tumefungwa wote sio Makonda peke yake furahini kiasi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…