SWALI: Pwani ya watu weusi a.k.a Zanzibar halisi ni Kisiwa kipi? Historia inahukumu.

Kama muingereza alitoa uhuru kwa jamhuri yenu na mkapata uhuru,kwa nn mulifanya mapinduzi?na mulimpindua nani na hali mulishapata uhuru wenu kutoka kwa muingereza?VIROBA WACHA.
 

Attachments

  • 1398055500447.jpg
    25.2 KB · Views: 150
kumbe makubaliano ya muungano yalikua kati ya nyerere na karume na ndio maana wenye nchi tunahoji uhalali wake kwa kuwa hao nyerere na karume hawakutumwa na wanananchi kufanya walichofanya
 
Kama muingereza
alitoa uhuru kwa jamhuri yenu na mkapata uhuru,kwa nn mulifanya
mapinduzi?na mulimpindua nani na hali mulishapata uhuru wenu kutoka kwa
muingereza?VIROBA WACHA.
Uhuru wa Mwaka 1963 bado ulikuwa chini ya Sultan wa Oman, ingawa Waziri Kiongozi na Cabinet yake walitoka ZNP/ZPPP. Mzee Karume na ASP yake walikuwa Conservative wasiyo taka kuongozwa na SULTAN ndiyo maana ASP wakafanya Mapinduzi.
 
kumbe makubaliano ya
muungano yalikua kati ya nyerere na karume na ndio maana wenye nchi
tunahoji uhalali wake kwa kuwa hao nyerere na karume hawakutumwa na
wanananchi kufanya walichofanya
Mkuu mm huko sipo. Lakini niulize unasema wenye nchi..je nchi unayosema ni ipi? JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR au JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR NA PEMBA?
 
Unaona sasa akili yako inakuwa finyu kama nafc yako,ivi mapinduzi ya znz yalifanywa na nani kwa uelewa wako?je unalijiua jina la Okello?na unamjua ni nani uyo?(KASOME TENA WACHA UBAGUZI)
 

Attachments

  • 1398057351766.jpg
    7.6 KB · Views: 289
Nikuambia kitu mm ni mzaliwa wa unguja na nimekulia na kusoma hapo,wazazi wangu wote ni kutoka tanganyika nyinyi mnaita tanzania.na naijua historia ya znz kuliko wewe.ndio nikasema wazanzibar munamatatizo nyote ,amupendani,wabaguzi,zaid kuna wenzenu wanadai znz huru wengine hamtaki,mwananch anayekataa nchi yake isiwe nchi mm m2 uyo namuita c mzalendo,unapokataa kuwa huru ni kuwa unakataa maendeleo ya kimaisha,na kama unakataa maendeleo ya kimaisha utakuwa mjinga na kama utakuwa mjinga jiuliulize mwisho wa ujinga ni nn?mwerevu au mpotevu?wanzn kulikoni?
 
Kaka pangua hoja hapo juu. Kama huna la kuchangia kaa pembeni. Leteni hoja nyie watu hamjui hata historia yenu. Watu wakija na hoja mnakimbilia ohh uislam.

Kama walivyosema hapo juu nje ya muungano hakuna Zanz kuna wapemba na wanguja. Waunguja wao hawana shida wale ati,wapemba ndio washikwa masikio wala hawajiulizi wao twende tu.



The king.
 
Unaona sasa akili yako inakuwa finyu kama nafc yako,ivi mapinduzi ya znz yalifanywa na nani kwa uelewa wako?je unalijiua jina la Okello?na unamjua ni nani uyo?(KASOME TENA WACHA UBAGUZI)

Huyo okello namfahamu vizuri sana labda tusome wote hiki hapa chini nilicho kitoa hapa:Zanzibar Revolution - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Hiyo hati ya Muungano kati ya Pemba na Unguja itadaiwa baadae, tuanze kwanza hati ya Muungano wa Sisi bara na kisiwa cha Mafia!!

Kama haipo basi tuwape Mafia uhuru wawe nchi kamili waunde serikali yao!!

mhhhh.mafia hii ni mkoa wa pwani mkuu
 
Hiyo hati ya Muungano kati ya Pemba na Unguja itadaiwa baadae, tuanze kwanza hati ya Muungano wa Sisi bara na kisiwa cha Mafia!!

Kama haipo basi tuwape Mafia uhuru wawe nchi kamili waunde serikali yao!!


Kwei mwam aikuwa nabi....! Ukiana kua nym ya mtu tandlakila tu...... Na Ukerewe je?
 
Mimi siwezi kukuomba samahani baada ya kupotosha ukweli. Nakwambia hizo links unazo jisifia hazina maana kabisa kwa kuwa sio ukweli. Asilia Unguja na pemba ni visiwa pacha. Mfano mdogo, nchi yetu inazalisha karafuu, jee ukiotesha karafuu dodoma itaota?. Hivo hivi visiwa ni pacha wala haviwezi kuwa mbali mbali wala hatuna muungano wa pemba na unguja. Acheni kuwadanganya watu wasijua.
 

kwanza nakataa utenganishaji wa pemba na unguja.ila ndugu hoja yako ni fupi mno kuendana na ukweli.ikiwa unaijua kagera kuanzia mazao mpaka watu basi upacha wao uko kwa waganda.
 
Wewe hujua hata unachokisema historia yako ya unguja ukuu hiyo hata huyo sultan alianzia Pemba kupambana na Mreno ndio akafika unguja ila tukukumbushe wapemba hawakuzoe kutawaliwa ndio maana sultan hakukaa Pemba
 
Uhuru wa Mwaka 1963 bado ulikuwa chini ya Sultan wa Oman, ingawa Waziri Kiongozi na Cabinet yake walitoka ZNP/ZPPP. Mzee Karume na ASP yake walikuwa Conservative wasiyo taka kuongozwa na SULTAN ndiyo maana ASP wakafanya Mapinduzi.


Unamjua Sultan wa Oman weye?
 
Ukereketwa wa ki ccm nimitihani kweli.

Unguja sio Zanzibar kama unavofikiria. Kiasili Unguja ni sehemu nyengine na Zanzibar ni sehemu nyengine.
Fuatilia ujue mamabo kama kulikua na bahari inayogawa Zanzibar na Unguja. Ila Unguja na Pemba zote zilikuja kujilikanwa kama ni Zanzibar baada ya utawala wa Usultan kuanza ambao Ulifika mpaka somali, msumbiji, Kongo. Kote huko kukujulikana kama eneo la Zanzibar Empire. Na mwisho vilibakia visiwa va Unguja na Pemba baada kunyag'anywa maeneo mengine na Wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…