beleza delgado
Senior Member
- Apr 8, 2014
- 109
- 17
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe makubaliano ya muungano yalikua kati ya nyerere na karume na ndio maana wenye nchi tunahoji uhalali wake kwa kuwa hao nyerere na karume hawakutumwa na wanananchi kufanya walichofanyaItabidi waelewe tu kwani sasa tumeamua kuichimba historia kwa undani zaidi. Chanzo cha mgogoro wa Zanzibar (BOFYA HAPA:Zanzibar History )ni mnyukano wa Kisiasa kati ya ASP na Muungano wa vyama vya ZNP/ZPPP miaka ya 1957-1961. Walifanya uchaguzi mwaka 1961 amabao ASP walipata viti 10 wakati Muungano wa ZNP/ZPPP wakapata viti 13. Hivyo muungano wa ZNP/ZPPP wakaunda serikali chini ya Waziri kiongozi Sheikh Mohammed Shamte na Mkuu wa nchi akiwa bado ni Sultan Jamshid ibn Abdullah. ASP wao walikuwa wanapinga kuendelea kutawaliwa na Sultan (Ikumbukwe kwamba Zanzibar walipewa uhuru kutoka kwa Muingereza mwaka 1963 ), lakini bado sultan akiendelea kutawala.Tar 12/1/1964 John Okello chini ya ASP akaongoza Mapinduzi kumtimua sultani na mara baada ya Mapinduzi Uongozi wa ASP ukawekwa chini ya Mzee Karume...Kwahiyo serikali ya Vibarka wa SULTAN i.e ZNP/ZPPP ikawa imepigwa chini. Baada ya hapo mzee Karume haraka akakubaliana na Nyerere kuiunganisha Zanzibar na Tanganyika Kuunda Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (SOMA ARTICLES OF UNION HAPA: Articles of the Union between Tanganyika and Zanzibar)
Uhuru wa Mwaka 1963 bado ulikuwa chini ya Sultan wa Oman, ingawa Waziri Kiongozi na Cabinet yake walitoka ZNP/ZPPP. Mzee Karume na ASP yake walikuwa Conservative wasiyo taka kuongozwa na SULTAN ndiyo maana ASP wakafanya Mapinduzi.Kama muingereza
alitoa uhuru kwa jamhuri yenu na mkapata uhuru,kwa nn mulifanya
mapinduzi?na mulimpindua nani na hali mulishapata uhuru wenu kutoka kwa
muingereza?VIROBA WACHA.
Mkuu mm huko sipo. Lakini niulize unasema wenye nchi..je nchi unayosema ni ipi? JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR au JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR NA PEMBA?kumbe makubaliano ya
muungano yalikua kati ya nyerere na karume na ndio maana wenye nchi
tunahoji uhalali wake kwa kuwa hao nyerere na karume hawakutumwa na
wanananchi kufanya walichofanya
Kaka pangua hoja hapo juu. Kama huna la kuchangia kaa pembeni. Leteni hoja nyie watu hamjui hata historia yenu. Watu wakija na hoja mnakimbilia ohh uislam.Hahaha ina maana znz muliibadilisha jina lini kutoka jina la unguja?tarehe gani na mwaka gani?najua hauna jibu hapo.mm najua Unguja na Pemba ndio munaita znz.wacha ivi wazanzibar muna matatizo gani kwenye nafc zenu? Mnashindwa kupendana na kuheshimiana?namlilia sana Karume angelikuwepo ww leo usingeweza kutoa hoja yako ya kibaguzi.
Unaona sasa akili yako inakuwa finyu kama nafc yako,ivi mapinduzi ya znz yalifanywa na nani kwa uelewa wako?je unalijiua jina la Okello?na unamjua ni nani uyo?(KASOME TENA WACHA UBAGUZI)
The Zanzibar Revolution occurred in 1964 and led to the overthrow of the Sultan of Zanzibar and his mainly Arab government by local African revolutionaries. Zanzibar was an ethnically diverse state consisting of a number of islands off the east coast of Tanganyika which had been granted independence by Britain in 1963. In a series of parliamentary elections after independence, the Arab minority succeeded in retaining the hold on power it had inherited from Zanzibar's former existence as an overseas territory of Oman. Frustrated by under-representation in Parliament despite winning 54% of the vote in the July 1963 election, the mainly African Afro-Shirazi Party (ASP) allied itself with the left-wing Umma Party, and early on the morning of 12 January 1964 ASP member John Okello mobilised around 600800 revolutionaries on the main island of Unguja (Zanzibar Island). Having overrun the country's police force and appropriated their weaponry, the insurgents proceeded to Zanzibar Town where they overthrew the Sultan and his government. Reprisals against Arab and South Asian civilians on the island followed; the resulting death toll is disputed, with estimates ranging from several hundred to 20,000. The moderate ASP leader Abeid Karume became the country's new president and head of state, and positions of power were granted to Umma party members.
The new government's apparent communist ties concerned Western governments. As Zanzibar lay within the British sphere of influence, the British government drew up a number of intervention plans. However, the feared communist government never materialised, and because British and United States citizens were successfully evacuated these plans were not put into effect. Meanwhile, the communist bloc powers of China, East Germany and the Soviet Union established friendly relations with the new government by recognising the country and sending advisors. Karume succeeded in negotiating a merger of Zanzibar with Tanganyika to form the new nation of Tanzania; an act judged by contemporary media to be an attempt to prevent communist subversion of Zanzibar. The revolution ended 200 years of Arab dominance in Zanzibar, and is commemorated on the island each year with anniversary celebrations and a public holiday
Hiyo hati ya Muungano kati ya Pemba na Unguja itadaiwa baadae, tuanze kwanza hati ya Muungano wa Sisi bara na kisiwa cha Mafia!!
Kama haipo basi tuwape Mafia uhuru wawe nchi kamili waunde serikali yao!!
Hiyo hati ya Muungano kati ya Pemba na Unguja itadaiwa baadae, tuanze kwanza hati ya Muungano wa Sisi bara na kisiwa cha Mafia!!
Kama haipo basi tuwape Mafia uhuru wawe nchi kamili waunde serikali yao!!
Mimi siwezi kukuomba samahani baada ya kupotosha ukweli. Nakwambia hizo links unazo jisifia hazina maana kabisa kwa kuwa sio ukweli. Asilia Unguja na pemba ni visiwa pacha. Mfano mdogo, nchi yetu inazalisha karafuu, jee ukiotesha karafuu dodoma itaota?. Hivo hivi visiwa ni pacha wala haviwezi kuwa mbali mbali wala hatuna muungano wa pemba na unguja. Acheni kuwadanganya watu wasijua.
Uhuru wa Mwaka 1963 bado ulikuwa chini ya Sultan wa Oman, ingawa Waziri Kiongozi na Cabinet yake walitoka ZNP/ZPPP. Mzee Karume na ASP yake walikuwa Conservative wasiyo taka kuongozwa na SULTAN ndiyo maana ASP wakafanya Mapinduzi.