View attachment 2666291
Kwenye ukurasa wa Wikipedia unaotoa wasifu wa Rostam Aziz (
Rostam Aziz - Wikipedia) unaonyesha moja ya sehemu za biashara na uwekezaji wake ni kwenye huduma za kibandari (port facilities and service). Kwa wanaojua bandari gani anahudumia naomba tu kujua ili kupata ufahamu.
Sio kwamba nataka kukonect dots, lakini povu alilolitoa Jumatatu kwenye "staged press conference" na kuwashutumu watu kwa ushabiki na udini (bila proof) inanipa ukakasi kiasi. Isije kuwa kuna lililojificha nyuma yake.
Sio kwa ubaya though, ni kwa maslahi mapana ya nchi. Wenye kujua watupe ufahamu tafadhali.
View attachment 2666302