Your browser is not able to display this video.
Sio kwamba nataka kukonect dots, lakini povu alilolitoa Jumatatu kwenye "staged press conference" na kuwashutumu watu kwa ushabiki na udini (bila proof) inanipa ukakasi kiasi. Isije kuwa kuna lililojificha nyuma yake.
Sio kwa ubaya though, ni kwa maslahi mapana ya nchi. Wenye kujua watupe ufahamu tafadhali.