SWALI: SIJAWAHI KUONEKANA WALA KUJIONA, JE MIMI NI YUPI?

SWALI: SIJAWAHI KUONEKANA WALA KUJIONA, JE MIMI NI YUPI?

Kipanga boy

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,409
Reaction score
1,219
Wakuu mmeamkaje? Kama kichwa kilivyoeleza mwanzo, ndio hoja yangu nitascreenshot hili SWALI nilimuuliza mtu kashindwa kunijibu sasa nalileta hapa ili mnisaidie maana utaalamu na ujuzi kwa ngazi zake jf umekuwa wa hali yajuu.
IMG_20180818_065310.jpg
 
Wew ni wew.......nafsi, roho na mwili wako ndo vimeunda wewe.

Kikichomoka kimoja tu katika hvo vitatu bs hutoweza tena kuuliza hata haya maswali yako ya kishamba shamba
 
Mkuu ni pale tu tutakapo fikia utimilifu na umoja ndo tutatambua hasa sisi ni kina nani ni elimu pana sana na wakiobahatika kudadisi na kufika ktk kitu kichoitwa ‘enlightenment ‘ au self realization watakuwa na jibu na bahati mbaya jibu lake halitokani nje ya muhusika ni hali ya kuwa ‘to be’
 
Wakuu mmeamkaje? Kama kichwa kilivyoeleza mwanzo, ndio hoja yangu nitascreenshot hili SWALI nilimuuliza mtu kashindwa kunijibu sasa nalileta hapa ili mnisaidie maana utaalamu na ujuzi kwa ngazi zake jf umekuwa wa hali yajuu.
View attachment 839735

Jibu la swali lako: WEWE ni roho.
Mtu ni roho, ambayo ina nafsi, na inakaa ndani ya mwili.
Vitu vingine vyote mfano mwili(Kichwa, miguu,mikono nk. ni mali ya huyo roho
 
Wakuu mmeamkaje? Kama kichwa kilivyoeleza mwanzo, ndio hoja yangu nitascreenshot hili SWALI nilimuuliza mtu kashindwa kunijibu sasa nalileta hapa ili mnisaidie maana utaalamu na ujuzi kwa ngazi zake jf umekuwa wa hali yajuu.
View attachment 839735
Ninini kimefanyika mpaka ukaweza kuweka hii post?
Je ni bundle?
Je ni simu yenye network?
Je ni kampuni ya mtandao?
Je ni chaji?
Je ni app ya JF?
Je ni user name yako?
Ukipata jibu moja tu kwenye maswali yote haya utakuwa umefahamu wewe ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom