SWALI: SIJAWAHI KUONEKANA WALA KUJIONA, JE MIMI NI YUPI?

SWALI: SIJAWAHI KUONEKANA WALA KUJIONA, JE MIMI NI YUPI?

Marehemu tumemzika...
Kipanga alikufa...
Kwahyo wewe ni mwili wako wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Utasikia lile ndio kaburi la Kipanga boy, sasa nitamiliki vipi kaburi na nimekufa?? 2, mwili wa marehemu utasafirishwa kesho, kumbuka sio marehemu atasafirishwa, hapa ni mwili wa marehemu, it means kuna kitu tunakijua ila hatukielewi tu ndio maana matamshi yanatufunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninini kimefanyika mpaka ukaweza kuweka hii post?
Je ni bundle?
Je ni simu yenye network?
Je ni kampuni ya mtandao?
Je ni chaji?
Je ni app ya JF?
Je ni user name yako?
Ukipata jibu moja tu kwenye maswali yote haya utakuwa umefahamu wewe ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichosababisha niposti ni kutaka kujijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utasikia lile ndio kaburi la Kipanga boy, sasa nitamiliki vipi kaburi na nimekufa?? 2, mwili wa marehemu utasafirishwa kesho, kumbuka sio marehemu atasafirishwa, hapa ni mwili wa marehemu, it means kuna kitu tunakijua ila hatukielewi tu ndio maana matamshi yanatufunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto aliyezaliwa anaitwa Kipanga, tunaambiwa ya kwamba Hawa alitolewa kwenye ubavu wa Adam, Mbavu za Adam zimemleta hawa, hawa ametokana na mbavu za Adam basi wewe ni Jina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kibamia kwenye mwili wa mwenye kitambii mtepweto
 
Wakuu mmeamkaje? Kama kichwa kilivyoeleza mwanzo, ndio hoja yangu nitascreenshot hili SWALI nilimuuliza mtu kashindwa kunijibu sasa nalileta hapa ili mnisaidie maana utaalamu na ujuzi kwa ngazi zake jf umekuwa wa hali yajuu.
View attachment 839735
Hivi vyuo vimefunguliwa. Maana vijana wakipitishwa kwenye philosophy kidogo, wanakuja humu kutusumbua kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom