Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
Wakuu mmeamkaje? Kama kichwa kilivyoeleza mwanzo, ndio hoja yangu nitascreenshot hili SWALI nilimuuliza mtu kashindwa kunijibu sasa nalileta hapa ili mnisaidie maana utaalamu na ujuzi kwa ngazi zake jf umekuwa wa hali yajuu.
View attachment 839735
Amekuambia hana?😄😁😄😜😁tafuta pesa bradha
kwa maelezo yake tu yanajielezaAmekuambia hana?[emoji1][emoji16][emoji1][emoji12][emoji16]
Ninini kimefanyika mpaka ukaweza kuweka hii post?Wakuu mmeamkaje? Kama kichwa kilivyoeleza mwanzo, ndio hoja yangu nitascreenshot hili SWALI nilimuuliza mtu kashindwa kunijibu sasa nalileta hapa ili mnisaidie maana utaalamu na ujuzi kwa ngazi zake jf umekuwa wa hali yajuu.
View attachment 839735