Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
- Thread starter
-
- #21
Asante sana mkuu, umenipa jibu zuri, mama amewahi kuniambia jina halifi,Nimesoma woote waliojitahidi.lkn hakuna aliejibu.lkn acha nijaribu wewe ni jina.jina unalotumia ndilo linamiliki viungo vyako vyoote pamoja na roho na nafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasikia lile ndio kaburi la Kipanga boy, sasa nitamiliki vipi kaburi na nimekufa?? 2, mwili wa marehemu utasafirishwa kesho, kumbuka sio marehemu atasafirishwa, hapa ni mwili wa marehemu, it means kuna kitu tunakijua ila hatukielewi tu ndio maana matamshi yanatufunga.Marehemu tumemzika...
Kipanga alikufa...
Kwahyo wewe ni mwili wako wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichosababisha niposti ni kutaka kujijuaNinini kimefanyika mpaka ukaweza kuweka hii post?
Je ni bundle?
Je ni simu yenye network?
Je ni kampuni ya mtandao?
Je ni chaji?
Je ni app ya JF?
Je ni user name yako?
Ukipata jibu moja tu kwenye maswali yote haya utakuwa umefahamu wewe ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto aliyezaliwa anaitwa Kipanga, tunaambiwa ya kwamba Hawa alitolewa kwenye ubavu wa Adam, Mbavu za Adam zimemleta hawa, hawa ametokana na mbavu za Adam basi wewe ni JinaUtasikia lile ndio kaburi la Kipanga boy, sasa nitamiliki vipi kaburi na nimekufa?? 2, mwili wa marehemu utasafirishwa kesho, kumbuka sio marehemu atasafirishwa, hapa ni mwili wa marehemu, it means kuna kitu tunakijua ila hatukielewi tu ndio maana matamshi yanatufunga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina make sense, nilishaikubali hii, ila nilibaki kutafuta uhakikaMtoto aliyezaliwa anaitwa Kipanga, tunaambiwa ya kwamba Hawa alitolewa kwenye ubavu wa Adam, Mbavu za Adam zimemleta hawa, hawa ametokana na mbavu za Adam basi wewe ni Jina
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi we leta jibu la kitendawilimmi nadhani ungeanza na neno kitendawili...
Mwezi umeandama jamani khaaaWakuu mmeamkaje? Kama kichwa kilivyoeleza mwanzo, ndio hoja yangu nitascreenshot hili SWALI nilimuuliza mtu kashindwa kunijibu sasa nalileta hapa ili mnisaidie maana utaalamu na ujuzi kwa ngazi zake jf umekuwa wa hali yajuu.
View attachment 839735
Hivi vyuo vimefunguliwa. Maana vijana wakipitishwa kwenye philosophy kidogo, wanakuja humu kutusumbua kweli.Wakuu mmeamkaje? Kama kichwa kilivyoeleza mwanzo, ndio hoja yangu nitascreenshot hili SWALI nilimuuliza mtu kashindwa kunijibu sasa nalileta hapa ili mnisaidie maana utaalamu na ujuzi kwa ngazi zake jf umekuwa wa hali yajuu.
View attachment 839735