Swali: Tutahiri wanaume wote bure ?

Swali: Tutahiri wanaume wote bure ?

Nataka niwapashe wanaosema sema kwa kuwa Yesu alitahiri basi na wakristo wanapaswa kutahiri. Yesu alitahiri si kwa ajili ya ukristo wake, bali alikuwa natimiza mila na desturi iliyokuwepo wakati huo. Mtume Paulo anaeleza vizuri sana juu ya haya katika nyaraka zake. Mwenye uwezo wa kutambua maandiko na aelewe na si kujenga hoja za kunga'anga'aniza.

Lakini hata hapa nchini kuna makabila wanatahiri kama mila yao na mfano ni WAMASAI, je hao pia ni waislamu?.

Hoja ya kuahiri ili kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi ni sawa na hoja ya kutumia kondomu kwa ajili hiyo hiyo. Ni sawa na kutoa ruksa kwa jamii kupuyanga sana na kujiliwaza kwamba hawatapata maambukizo kwa sababu wametahiri au wanatumia kondomu. Tuwe wakweli, dawa ya kuzuia maambukizo ni kuacha NGONO ZA OVYO. Mtu ana mke wake bado anasalandia wanawake wengine, si ndio ufuska huo. Kwa wakristo imeandikwa KILA MWANAMUME NA AWE NA MKE MMOJA TU, sasa ukizingatia hayo utaambikizwa vipi?

Poleni sana mlio dhaifu wa mioyo na miili, siku ya hukumu mtajibu.
 
Shukrani Big Daddy kwa kutukumbusha hayo... swali langu bado halijajibiwa; tukubaliane na kuagizana kwamba tohara ya wanaume iwe sera na hivyo kila mtoto regarless of dini au kabila apatiwe hiyo tohara?

Kama jibu ni ndio, then what are the strategies to implement?
Na kama jibu ni hapana, tutakua tunatenda haki?
Na kama jibu ni ndio, je wale ambao tayari wameshakua na hawajafanyiwa tohara - kuna sababu ya wao kufanya? knowing madhara na faida hasa ukizingatia kwamba kile kidonda takes time kupona?
what are the risks surrounding adult male circumcisions? do the benefits outweigh risks etc?

Thanks
 
Back
Top Bottom