amarina JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 230 Reaction score 403 Mar 9, 2026 #1 Nahisi usipoheshimu siku zote za uhai wako, unaweza kuja kuishi kwa kujifichaficha. Hata ukihudhuria jambo ukajificha kamera zisikuone. Nauliza je ikiwa hali imeshakuwa hivyo nitafanyaje
Nahisi usipoheshimu siku zote za uhai wako, unaweza kuja kuishi kwa kujifichaficha. Hata ukihudhuria jambo ukajificha kamera zisikuone. Nauliza je ikiwa hali imeshakuwa hivyo nitafanyaje
Idimulwa Platinum Member Joined May 27, 2011 Posts 6,351 Reaction score 5,556 Mar 9, 2026 #2 Kichwa Cha habari ni kigumu na ukija kwenye maudhui Mimi nimepoteza dira. Mkuu unaonekana uko sehemu kabisa unakula Bia aisee.!!! Location????
Kichwa Cha habari ni kigumu na ukija kwenye maudhui Mimi nimepoteza dira. Mkuu unaonekana uko sehemu kabisa unakula Bia aisee.!!! Location????