mwanakwetuu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 407
- 817
Swali limekaa kihisia sana na hasa propaganda zenu za mpira,kwanini ashindwe kumiliki timu kama uwezo huo anao? taasisi zote zinafanya kazi kwa kujitegemea usidhani mamelodi wakifanya kosa hawawezi kuadhiniwa eti kisa mmiliki wake ndio rais wa Caf, tff imejaa mashabiki wa simba na yanga ila mbn timu hizo zikikosea zinaadhibiwa? Weledi weledi weledi over