Swali wana JF

Swali wana JF

MUGASHA THE HERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
327
Reaction score
205
Katika kipindi kumekuwa na vijana weng wanaolalamika kuishiwa au kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na kupga punyeto. Naomba tuweze kujuzana, hili tatizo linaweza kutibiwa hospital au kwa miziz tu? Na je kama ni hospital, tiba bora itakuwa kweny private hospital au hzi za serikar? Tusaidiane wadau ili hata wale wenye hli tatzo wapate pa kuanzia.
 
Muda mwingine watu hawajawahi kupiga punyeto but wanaupungufu,lakini matibabu yanategemea na ukubwa wa tatizo sometime ushauri tu ni tiba tosha. Kuhusu wapi ni sahihi wataongeza wengine
 
Ishu kuacha kula vyakula vya tantalala (vya kisasa)kudiri na ugali (dona)na mboga za majani hasa chuku chuku nikimaanisha bila kuunganishwa na mafuta. Ukipenda unga na Tui la Asili kama vile nazi,ufuta na karanga
Usahau kunywa soda,bia au Azam juice
Chai ya asubuhi iwe muhongo,ndizi au magimbi hasa vile vinavyo toka shambani kwa mkulima viwe vina vuja untonvu
Hiyo hatua ya kwanza
 
Kuishiwa nguvu za kiume tiba yake ni ushauri pekee,maana utapata vitu ving kama namna ya ku control mawazo aina ya vyakula na mazoezi,bila hata dawa na unapona.
 
Katika kipindi kumekuwa na vijana weng wanaolalamika kuishiwa au kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na kupga punyeto. Naomba tuweze kujuzana, hili tatizo linaweza kutibiwa hospital au kwa miziz tu? Na je kama ni hospital, tiba bora itakuwa kweny private hospital au hzi za serikar? Tusaidiane wadau ili hata wale wenye hli tatzo wapate pa kuanzia.
Kuishiwa nguvu kwa kupiga punyeto hakuna dawa za Hospitali zitakazo weza kukusaidia kurudisha nguvu zako zilizoondoka kwa kupiga punyeto. Dawa pekee za kutibu matatizo ya kupiga punyeto ni dawa za asili za mitishamba ukihitaji matibabu nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.
Ukiwa na Shida yoyote ile

Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Ukiwa huna nguvu za kiume ni kuwa unabeba yale yalioshindikana hebu jaribu kupata kabint bikra halafu tuone nguvu zitapotea? Wakati mwingine nguvu hupotea kwa kukutana na kisima cha maji halafu kikubwa na kins harufu hapo lazma ife tu wacha kupungua nguvu
 
Wanaume wa mikoani utawajua tu, kwa mada zao za kuishiwa nguvu za kiume.[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom