MUGASHA THE HERO
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 327
- 205
Katika kipindi kumekuwa na vijana weng wanaolalamika kuishiwa au kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na kupga punyeto. Naomba tuweze kujuzana, hili tatizo linaweza kutibiwa hospital au kwa miziz tu? Na je kama ni hospital, tiba bora itakuwa kweny private hospital au hzi za serikar? Tusaidiane wadau ili hata wale wenye hli tatzo wapate pa kuanzia.